MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,034
Baada ya kufuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar uliofanyika October 25 mwaka jana, Jecha amekuwa gumzo kubwa sana ndani ya nchi yetu na hata nje ya Tanzania, yaani kwa kifupi amejijengea umaarufu sana, na umaarufu huu umezidi kuongezeka baada ya kutangaza tarehe ya marudio ya uchaguzi huo kuwa ni tarehe 20 machi 2016. Wakati tunasubiri tarehe ya marudio ya uchaguzi nimeona niweke Uzi huu kwa mjadala wa wazi.