Recent content by Gaga

  1. Gaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu na mke wa mtu wamenitenda

    Kinukishe kwa mumewe kwanza halafu mblock huyo mwanamke
  2. Gaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Mungu anaweza kukupa mke mwingine iwapo tayari una ndoa ya Kikristo?

    Hivi ndo vile vikanisa vya kwenye petrol station, mweeeeee, hiyo haipo huyo dada anakutengeneza tu
  3. Gaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa mimba, ananichukia hataki hata kuniona

    Kama unajua tabia za mwanamke mjamzito wala usingehama, coz inatakiwa the more anakuchukia the more unamwonyesha mapenzi, coz si yeye ni hormones zinafanya kazi.
  4. Gaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi JF kuna wife material kweli?

    Yamekukuta eeee, nafikiri usimjaji mtukwa posts zake, give them a chance to know the better
  5. Gaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemzidi umri kwa miaka 12

    As long as u love each other hakuna cha kuwastopisha
  6. Gaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenibebea mimba bila ridhaa yangu

    Wakati unamkojolendani ulidhan hizo mbegu zinaenda wapi, be responsible kwa utamu wako, raha mpate wote, mimba umlalamikie mwenzako, tena watu kama nyie ndo mnapiga mikelele kweli mkifunga goli
  7. Gaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegonga gari ya girlfriend wangu nikiwa tungi

    Wapenda vislop utawajua tu #gandalandizi
  8. Gaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Duh ama kweli mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, mume hujali, hata mwanao pia hujali, wewe unaishi humu duniani kufanya nn kama watu wa muhimu kwako huwapi muda, huyu hata akifa kwenye hukumu kwa Mungu atachapwa vibao vitakatifu, na wazazi wake pumbaf kabisa, mtu...
  9. Gaga

    JamiiForums Tanzania Lowassa anaweweseka tu

    Kama kweli alitaka mabadiliko angekuja kuanzia chadema kugombea, mie chadema damu ilanimekwazika sana chademakusimamisha hii kitu kama mgombea urais. hizi ni ndoto
  10. Gaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasichana hawaolewi sababu ya kutembea na waume wa watu

    Wasichana wa siku hizi wanapenda short cut, hawapendi kuanza chini na mwanaume na hhiyo ndio inawaponza kuanza kutembea na waume za watu kujitafutia mabalaa. maana muibie gaga atakaa kimya, ila muibie mwa flan? yuko radhi hata kukodi wahuni wakubake, kuweni makini warembo, jitafutieni vya kwenu...
  11. Gaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoto: Mchumba wangu amekua kichaa

    Umerogwa pengine na x wako khaaa
  12. Gaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachepukaji wengi wana tabia hizi

    Akiwa anaoa simu ikiita anaeza toka na mapovu....kuwhi simu
  13. Gaga

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Dr. Slaa aonekana, asema kuzungumza muda ukifika

    Safi sana slaa kwa msimamo
  14. Gaga

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kariakoo: Watu waliovalia mavazi ya CCM wazomewa na machinga

    Duh chadema wanajipa moyo sana, safari ni ngumu hii
Back
Top Bottom