TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,673
- 23,661
Sina kazi na ninaishi kiujanja ujanja. Juzi usiku nilipata ajali nikitoka bar, gharama za matengenezo ni million 2. Kichwa kinanipasuka, sijui hata la kufanya.

Humphnicky tukubaliane tu kuwa hii ni stori ya kutunga kwa mzinga huo hiyo gari haitembei ni ya kuvuta na most likely ni tukio ambalo traffic police wamehusika kushughulikia hiyo ajali.
Pili, ajali kama hiyo na hizo gharama usingekuwa hapa muda huu ukipost, lazima ungekuwa kwenye shock kubwa ya ajali lakini vilevile gharama.
Maswali ya kujiridhisha:
-Ulikuwa bar gani na nani?
-Ulipata ajali eneo gani?
-Uligongana na gari lingine au uligonga mti post culvert gema au gari lilipinduka?
-Hakukua na majeraha au majeruhi?
-Estimation/ quotation za matengenezo ulipata garage gani?
-Kwa sasa gari iko wapi? Ni aina gani?