Amenibebea mimba bila ridhaa yangu

Amenibebea mimba bila ridhaa yangu

Kubaliana na matokeo akizaa ataacha kwenda club atalea tu mtoto home
 
Sasa wewe wakati unaweka kavu ulikuwa hujui matokeo yake?
 
Dah! Umeingiza dudu lote tena kavu,ukakojoa humohumo zingine zikabaki na zingine akaenda kuosha, na kesho tena na tena,sasa unachunguza nini?
Kula papuch kwa nguvu arifu, mambo imeshaharibika hapo.
 
Kwa hiyo baada ya kujaribu wanawake qa kazini na kumfukuzisha kazi na uliuliziaga huyu wa kusafiri ndio ukaishia kuingizwa mkenge

Kweli malipo hapa hapa duniani, na ukome kuchezea wanawake huyo kakuweza eti unamchunguza si ndio huyo rafiki yako alikuambia wanamjua huko anakosafiri anauza

Kweli wewe unajitia bosi kumbe chwaaaaaa hadi nacheka, huyo rafiki yako aliyekuambiaga anamjua sana huko akisafiri nae atakucheka funga domo subiria kulea mtoto wenu.
 
Mr. HR kwanini wakati wa kuchunguzana hukutumia condom?
 
Mzunguko wake kwani we ulipokua unamwaga ndani ulitegwmea nn.
Ua responsible too grow up!!
 
Aisee humfai huyo mwanamke maana anakielewa kuliko wewe.
1. kajileta kwako ati mpimane na ukakubali
2. ukawa unadunga bila kinga halafu unatuuliza kama hajui siku zake teh teh
3. Anakupeleka kumbi anazotaka yeye tu
4. Nahisi hata viingilio analipa yeye

Sasa nimeanza kuamini kuwa kuna upungufu mkubwa wa wanaume mtaani.
 
pole sana ndugu yangu ,lakini mimi nakulaumu wewe inakuwaje ukubali kuishi na mchumba wako NDANI KABLA HATA HAMJAFANYA TARATIBU ZOZTE ? swali la pili kwanini uliendelea kushiriki tendo la ndoa bila kinga yeyote ? je umeshaenda kufanya vipimo kujua afya zenu? nakushauri uende hospitali mkapate ushauri nasaha na kufanya vipimo, baadhi ya vipomo ni HIV VDRL,BLOOD GROUP & RHESUS FACTOR, SICKLE DISEASES,HEPATIS B

mmmmmmmmmmh vipimo vyote ivyoooo kiruuuuuuuuu!!!!!!!:shocked:,kwa style hiyo utapata mke kweli maana je blood group msipomatch,unamtupilia mbali,je ukikutana na mwenye sickle disease unatupilia mbali pia,kwa sytle hii utampata wa kumuoa kweliii,....
 
unataka tukusaidie jinsi ya kukwepa jukumu lako, acha mbwembwe be a man and face your responsibility
 
mmmmmmmmmmh vipimo vyote ivyoooo kiruuuuuuuuu!!!!!!!:shocked:,kwa style hiyo utapata mke kweli maana je blood group msipomatch,unamtupilia mbali,je ukikutana na mwenye sickle disease unatupilia mbali pia,kwa sytle hii utampata wa kumuoa kweliii,....
hapa tatizo siyo blood group kumach kuna watu wenye gruop la damu hasa ni rhesus negative hii baada ya kupima group la damu huwa inaandikwa blood group O Rh negative au group O Rh positive Kwahiyo ukishajua kwamba ni Rh negative utapewa ushauri nini cha kufanya kabla ya kupata mimba na baada ya kupata mimba
 
Hahaa...
Unachunguza kama ndizi ni tamu ununue kwa kuendelea kula. Tena umeanza kula zile za juu zenye utamu, umebakisha vichane vichache huko chini, muuzaji anachukua hela yake, eti wewe unauliza anachukuaje hela wakati huna uhakika kama utazipenda...
Hutazipenda wakati ushakula nusu mkungu?...

Ndizi hujaribiwa kwa kubonyeza tu maze. .. sio kumenya na kula. Tena unarudia ya kwanza... ya pili... hadi unamaliza vichane 6. Ebo!

hahahahahah Tuko nimekuelewa sana arif
 
Last edited by a moderator:
Unaonekana wewe ni wale wanaume wa kuruhusu mahusiano kuongozwa na mwanamke au huyo mwanamke ana tabia ya kutawala mahusiano.
katoeni hiyo mimba km haupo tayari kiukweli.
 
Wana Jf nawasalim,

Nina mpenzi wangu mpya ambae amehamia kwangu katika mazingira ambayo yanatatanisha hadi sasa na hatimae kubeba mimba bila ridhaa yangu.Huyu binti tumefahamiana miezi si mingi, ni business woman anakwenda Arabuni kufuata mizigo mbalimbali, mimi ni HR business partner.

Alianza mtindo wa kuja kwangu Friday na kuondoka Sunday aliendelea kuongeza siku hadi akahamia kwangu mazima..
Juzi jumamosi kaniambia hazioni siku zake, na wiki yote hii amekua kama mgonjwa.

Tulipoenda hospital tukaambiwa ni mjamzito, tuliporudi home nikamuuliza nani kakutuma ubebe mimba wakati bado tunachunguzana? Je matokeo ya kuchunguzana yakija negative? Utamlaumu nani?

Anadai hajui imekuaje hadi kabeba mimba ina maana mwanamke wa miaka 27 hajui mzunguko wake upoje?
Alipolazimisha kuja kuishi kwangu alidai sababu kuu ni kujuana tabia, then taratibu zingine zifuate.

Sasa mbona anaruka hatua kwa kunitegeshea mimba?Halafu anadai niende kujitambulidha kwao, kwa hiyo ni mbinu au?
Seriously mimi bado nahitaji kuendelea kumchunguza kuna vitu bado navifuatilia kumhusu yeye.

Mfano hizo safari za Arabuni na Hong Kong bado sijazielewa kwa kina naendelea kuzichunguza, sasa kwa hali hii mtu unafanyaje? Mawazo yenu please

Tatizo la pill ni hobby zetu kuwa tofauti kwa mfano yeye anapenda sana kwenda kwenye bendi za dansi kama twanga na Fm Academia wakati mimi miziki hiyo naiona ni makelele na tukienda wote huko mimi nakua bored ile mbaya.

Na kila weekend anataka twende, anajua ratiba za mabendi yote makubwa, mm kwa upande wangu napenda kwenda sehemu tulivu zenye mziki laini kwa mbali, hata kama ni bendi iwe ni karaoke na sio makelele ya akina FM academia ambapo huwezi hata kuongea na jirani yako.

Hivi karibuni, tulienda bendi, masikio yangu yaliziba wiki nzima huku nikisikia miluzi kama nimekunywa ile dawa ya zamani ya quinine je, kama tunaendelea kuishi pamoja je hili haliwezi kuwa kikwazo?

Yeye akibadilisha sana ni kwa kina mzee Yusuph ambako hata kwa kunifunga minyororo hujanipeleka, huwa namruhusu anaenda na ndugu na rafiki zake.

Your help please

Unaweza kujibu swali unalodhani unaliweza kati ya hayo mawili

Thanx
Kaka angu hakuna raha duniani Kama mtoto .Hutokaa ujue mpaka akizaliwa kuona mtoto wako na siwezi kukuelezea mpaka uwe nae .Halafu kwa MWANAMKE ni Jambo la miracles.unabeba mtoto na unawaza mtoto Atakuwa ok au wasiwasi.Maumivu yakuzaa mtoto Usiombe usikie mpaka upate epidural ujue umevumilia mno.Ukiwa na roho ya eti sitaki mimba na ukampiga stress mjamzito Mna stress na mtoto .Nilivyojifungua mwanangu wa kwanza mume wangu alizimia kwa furaha.Take care of a child na mama Yake .mtoto a abadilisha maisha ya mtu .I can't imagine life without my kids .Kabla sijazaa nilikuwa napiga simu kwa my mother everyday from USA huku .Nilivyozaa tu nikijitahidi Mara moja kwa mwezi ndio napiga simu .
 
Kumvua pichu na kupima oil hiyo ni last stage ya uchunguzi.... Oa tu hakuna namna nyingine
 
Wakati unamkojolendani ulidhan hizo mbegu zinaenda wapi, be responsible kwa utamu wako, raha mpate wote, mimba umlalamikie mwenzako, tena watu kama nyie ndo mnapiga mikelele kweli mkifunga goli
 
Wakati unamkojolendani ulidhan hizo mbegu zinaenda wapi, be responsible kwa utamu wako, raha mpate wote, mimba umlalamikie mwenzako, tena watu kama nyie ndo mnapiga mikelele kweli mkifunga goli

Hahahaaaa hatariii,
 
Back
Top Bottom