Hivi JF kuna wife material kweli?

Hivi JF kuna wife material kweli?

kwi kwi kwi...hujasikia Nyerere alipomtilia shaka mtu kuwa he is about kubadili kabila...hakuna kisichowezekana chini ya jua...
Ndoa yangu haiyumbishwi na internet....
Imeshavuka hayo mawimbi


Hongera! Tunafurahi kuona ndoa zilizo imara, sio kila siku watu wanalia kuumizwa. Lakini internet haiwezi kuvunja ndoa, uamuzi wako ndio unaivunja!
 
Kuna mmoja kaandika signature yake "only responsible for what I say not what you understand" nadhani yuko sahahi sana kuhusu wanaJF.
 
Mazungumzo ya mtu akiwa anonymous huwezi kutumia kuk judge
watu humu hujitoa ufahamu kama njia ya kupunguza stress za maisha
au kuburudika tu...

mimi nawajua watu humu wadada wana majibu hayo lakini in real life ni watu tofauti kabisa
so decent
u said it very well.. thats why you r The Boss.
 
Asilimia kubwa ya mabinti humu JF hawafai kuolewa,wana majibu mabaya mno yaani ukipata mke JF lazima awe bomu tu,kwenye thread tu wanavyoreply kama waliokata tamaa au wanakomoa wanaume.

Wachache sana nadhani,ila asilimia kubwa bana hamna kitu.Ukiona mrembo anajibu vibaya humu ujue hata live kachoka kabisa kakata tamaa anakuja kutukana wanaume humu.

UKIPATA MKE JF LAZIMA UJE KULALAMIKA JF
hahhaha sabau wewe si hubby material thats why unadhani utajua wife material thru comments n threads za JF. Wise up man.
 
Yamekukuta eeee, nafikiri usimjaji mtukwa posts zake, give them a chance to know the better
 
Back
Top Bottom