Wise1
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 209
- 144
complication za mimba hizo...mi wangu alikuwa ananinusa nusa kama mbwa...
Ha ha ha ha ha ha we jamaa...
Huyo wife ako alikuwa noma..sana
complication za mimba hizo...mi wangu alikuwa ananinusa nusa kama mbwa...
we mrikodi matukio yake yote halafu akishajifungua mwambie afanye tena kama ataweza... mimba jambo lingineHaya misschagga asante kwa ushauri, mimi ckujua mimba ni noma hivyo...
we mrikodi matukio yake yote halafu akishajifungua mwambie afanye tena kama ataweza... mimba jambo lingine
take it.. ila asikufume ukimrikodiGood idea.
Kitaalamu hakuna uhusiano kati ya mimba na kumchukia mtu....au kiburi..sasa mwambie aache hizo tabia,kama vip piga chini tafuta mwingine
take it.. ila asikufume ukimrikodi
Mhhh...! Nao ni ushauri...
Jamani, mnijuzeni mwenzenu mpenzi wangu tulikuwa tumeamua kuishi pamoja kabla ya kuhalalisha kwa watumishi wa Mungu.
Wakati huo tunasubiria tukawa tunamega taratibu tunda la mti wa katikati, ghafla mwenzangu mara kavimbiwa, kichefuchefu mara woohh....(katapika) alipoenda kupima akakuta amenasa.
Sasa shida ananichukia vibaya mno na sasa hivi yuko na kisirani na kiburi, ananiangalia kwa jicho la dharau sana!
Na mimi nimeona isiwe shida nimehama zangu nikarudi makazi yangu ya mwanzo, analalamika nirudi na mimi nimegoma.
Anataka nikajitambulishe kwao na mimi nikifikiria anavyonichukia nimemwambia kamwe siendi na pia ana kitabia cha kunishurutisha mara kwa mara kwa kunitumatuma ovyo..." Sielewi kapatwa na nini?
Ushauri jamani.
We unaonaje mkuu.....