Mchumba wangu na mke wa mtu wamenitenda

Mchumba wangu na mke wa mtu wamenitenda

Achana nao na uendelee na maisha yako. Ila nikushauri kitu kimoja. Kuna wakati inabidi kuamua kufanya maamuzi mapema ili kujipunguzia maumivu. Kama ulishapata ukweli kuwa mchumba wako anaishi na mtu mwingine, ni bora ungeendelea na maisha yako tu, maana mtu kama yuko teyari kukuacha wewe mchumba wake uteseke na kuumia rohoni, kisa hataki kumuumiza mwingine inamaanisha thamani yako kwake imeshuka kulinganisha na huyo anaemlinda. Maana mwanaume anaekupenda kwawaida anahakikisha anakulinda na kila jambo linaloweza kukuumiza.

This Is The Facts Mkuu, Then Ondoa Connections Zote Kati Yako Ww Na Hao watu, Kma Ni Namba Badili, Kaa Nao Mbalii... N Amin Mungu Atakulipa Wala Usiwe Chanzo Cha Wao Kugombana Ww Kaa Pembeni Endelea Na Maisha Yako Tuu....Huyo X Mungu Atamfunulia. Besides Pole Sanaaa.
 
Kinukishe kwa mumewe kwanza halafu mblock huyo mwanamke
 
Pole sana , na pia unamoyo, unamuweka kwenye DP kwalipi? Nikumwambia tuu naiwe basiii, kumpenda asie kupenda ni Sawa nakusubiri meli Airport, achana nae usimfatilie, na huyo mwanamke pia achana nae ipo siku atajuaa Kama tamu ya chai sukari Au Rangi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom