Wachepukaji wengi wana tabia hizi

Wachepukaji wengi wana tabia hizi

Hahahahaaaaa daaaaa.....kwahiyo inabidi tuchiti ili neno kuchiti liendelee kutamkwa, ili lisife kama kiebrania......😕
 
si kusikia nipigie badae au ni text !
 
Nani hajawahi kuchiti jamani wanaume wenzangu?? Ni jambo la kawaida lkn umakini pia unahitajika sana!!
 
Akiwa anaoa simu ikiita anaeza toka na mapovu....kuwhi simu
 
mm nachepuka sababu ya tigo lkn najaribu kuwacha ila ni ngumu .na uyu mchepuko wangu anapenda sana kuliko mm.kama sio hivyo .....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom