Recent content by G_Carson

  1. G_Carson

    Msaada: Namna ya kupata line ya Tigo Pesa, M-Pesa na Airtel Money?

    Kwamba kumbe line ya uwakala unaweza ukae da ukatoa benk???
  2. G_Carson

    Je, nini hasa kimefanya mgao wa umeme kuwa historia nchini Tanzania?

    Ingawa tuna uhakika wa kupata umeme bila kukatika kwa at least 85% but gharama ya umeme ni kubwa sanaaa sanaaaaaa,, gharama ikipungua,, Hakika tutajivunia UMEME Tz..
  3. G_Carson

    Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

    Hongera sana mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. G_Carson

    Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga

    4&6 Zote zangu,,,sionekani kama kivuli,ila nikionekana,,Naamsha kijiji kwa playlist kalii,sauti mpaka mwishooooo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. G_Carson

    Kuhamisha pesa kutoka M-Pesa - CRDB

    Habari nilitakiwa nilipe TRA kupitia account yao ya CRDB, Kwa Bahati mbaya nikatuma direct kupitia simu yangu,na kumbe nilitakiwa nikalipe moja kwa moja CRDB BANK. Niliporudi kwa watu wa TRA wakanambia hiyoo hela uliyolipa kupitia simu yako ya mkononi direct ndio imeshapotea hiyoo,,kalipe bank...
  6. G_Carson

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Nina chet cha NTA LEVEL 7,NAWEZA NIKAENDA CHUO KINGINE KWA AJILI YA KUENDELEA NTA LEVEL 8??? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. G_Carson

    Wanaume tuliowahi kula mtungo na wanawake mliowahi liwa mtungo tupeane uzoefu

    We jamaa muongo kinoma,, Nokia miaka ya tisini bongo, castle lite??? Miaka ya 90!!??
  8. G_Carson

    Karibuni Open university of Tanzania

    Mtu anaweza akachukua matokeo ya MWAKA wa kwanza na wa pili akaja kumalizia hapo MWAKA wa tatu??
  9. G_Carson

    Degree 1 vyuo viwili Tofauti

    HIVI UNAWEZA UKIWA UNASOMA DEGREE YA KWANZA,BAADA YA KUMALIZA MWAKA WA PILI UKAAMUA KUCHUKUA MATOKEO YA MIAKA MIWILI,UKAENDA KUMALIZIA MWAKA WA TATU KATIKA CHUO KINGINE?? Kama inawezekana vigezo ni vipi?? Na ni vyuo gani vinapokea mwanafunzi wa aina hiyo?? Msaada tafadhalii????
  10. G_Carson

    Nimepata mpenzi Jf

    JF (JAMAA FULAN) hahahaaaaaa
  11. G_Carson

    DSTV kushusha bei za vifurushi vyao kuanzia Septemba Mosi

    Useless kwa sisi ambao tunatumiaga BOMBA always
  12. G_Carson

    Kupata kazi au cheo bila ‘connection’ sahau

    Matesooo,hasa kwa watu wa chini!!!!
  13. G_Carson

    Msaada: Wanaume naomba mnifundishe kutongoza na Wanawake mnipe ujuzi wa kuongea nanyi na kuwatongoza

    Umri bado huoo,kama hujaanza,usikimbilie sanaaa,jenga maisha yako kwanza,umri ukifika,automatically utajua kutongoza!!!!!!!!!!!!!
  14. G_Carson

    Msaada: Wanaume naomba mnifundishe kutongoza na Wanawake mnipe ujuzi wa kuongea nanyi na kuwatongoza

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] 0[emoji1] [emoji1]
Back
Top Bottom