Je, nini hasa kimefanya mgao wa umeme kuwa historia nchini Tanzania?

Sijui unaongea Nini au unataka kumfurahisha Nani. Umeme hata muda huu umekatika wewe unasema historia?
Umeme bado haujawa that much stable lakini ni 1000 times better. Kama huoni pengine umri unakubana maana mpaka watoto wa primary wana iPads.

Kukupa picha tu, ulikuwa unapiga pasi ngui za wiki nzima ili angalau umeme ukipotea uendelee na kazi. Kifupi Hali ilikuwa mbaya
 
Hali ilikuwa mbaya sana kwa kweli, improvement ni kubwa sana!!
 
Ingawa tuna uhakika wa kupata umeme bila kukatika kwa at least 85% but gharama ya umeme ni kubwa sanaaa sanaaaaaa,, gharama ikipungua,, Hakika tutajivunia UMEME Tz..
nadhani tusubiri kukamilika kwa mradi wa umeme Rufiji, lile bwawa linaweza kuwa mwatobaini wa bei kubwa ya umeme
 
Historia??? Wapi huko? 😳
Bado nakumbuka machungu makali tuliyopitia Watanzania mnamo mwaka 2006 enzi za mkwere wakati taifa lilipopitia kipindi kigumu cha mgao wa umeme kuwahi kushuhudiwa katika historia.

Je, nini hasa kimefanyika kukomesha mgao? Au wale waliokuwa wakihongwa kufungulia mabwawa wamestaafu au ni nini? Whats going on?!
 
Unajiuliza swali wakati unajua kabisa kuna waratibu wa ule mpango hawapo uraiani muda huu, yule muhindi wa IPTL na yule dingi si wako selo sahivi!

Wamekula nondo mpaka wameisha kabisa...ila nafuu yetu huku moto unawaka full time na ukizima basi ni hitilafu za asili tu sio za kutengenezwa.
Kumbe kuna wakati lazima maneno ya yule Kanali wa jeshi kwenye sakata la kupotea kifu yanatimia.
Kuna wakati ukatili haukwepeki "Sometimes sadism is inevitable", kama kwenye kesi hii kuna watu lazima wafukuzwe kazi, wengine wale nondo jela ili watu wasifie hospital kwa kukosa umeme vyumba vya upasuaji, watoto wa vinyozi na wachomeleaji vyuma wapate uhakika wa chakula.
 
Halafu unakuta kasheshe lote kuiweka nchi gizani master mind walikuwa wahuni wawili tu, muhaya mmoja na rafiki yake muhindi. Sometimes kiongozi lazima uwe mkatili kwa masirahi ya wengi
 
Bado nakumbuka machungu makali tuliyopitia Watanzania mnamo mwaka 2006 enzi za mkwere wakati taifa lilipopitia kipindi kigumu cha mgao wa umeme kuwahi kushuhudiwa katika historia.

Je, nini hasa kimefanyika kukomesha mgao? Au wale waliokuwa wakihongwa kufungulia mabwawa wamestaafu au ni nini? Whats going on?!
 
Kama habari hii ni sahihi basi tuna matatizo makubwa sana nchi hii

Miaka michache iliyopita tuliambiwa gesi itatoa umeme utakaouzwa nje ya nchi na kwamba tayari kuna mpango wa kujenga line kwenda Zambia n.k.

Wiki chache zilizopita kiongozi mmoja wa Tanesco kasema umeme wa gesi ya Mtwara utazalisha megawati zaidi na nyingine kuuza nje ya nchi

Miaka michache iliyopita tulikuwa na mradi wa Sitgler Goerge kule bonde la Rufiji. Mradi huo ulikuwa chini ya RUBADA

Leo tunaambiwa tutanunua umeme kutoka Ethiopia

Yaani ni hadithi kila asubuhi

Tuna matatizo makubwa sana nchi hii.

Hapa kazi tu!
 
Back
Top Bottom