Recent content by G7seven

  1. G7seven

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    sawa Asante sana ngoja nifanyie kazi niki kwama nitakucheki
  2. G7seven

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    asante sana mkuu Mpower application zao unafanya Online au ata Tz wanaofisi
  3. G7seven

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    kuomba ufadhili mnatumia njia gani na ni kitu gani cha msingi uwenacho wakati unaomba ufadhili
  4. G7seven

    JamiiForums Tanzania Taja simulizi 3 bora ulizosoma JamiiForums 2023

    Kusambaa na kuenea kwa virusi vya corona by habibu anga
  5. G7seven

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    tuondolenu upuzi wenu eti dar itahama walimu wenu wa jografia walipata tabu sana
  6. G7seven

    JamiiForums Tanzania Wale wapenda mabasi ya mikoani (wanazi) tukutane hapa

    Sauli dar Tunduma ndio bus Bora ya nyakati zote kuwahi kukanyaga kwenye ardhi ya Tz
  7. G7seven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

    Usizae kabla hujaolewa unajitia nuksi tu
  8. G7seven

    JamiiForums Tanzania Raja Casablanca FC wametegwa Makusudi na Simba SC na wameingia Mtegoni hawatoamini Macho yao

    Popoma kweny ubora wako
  9. G7seven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu hamjanielewa naposema "Mwanamke ni chombo Cha Starehe" Sasa nieleweke hivi !!.

    Kwanin uwaite dada zetu chombo Cha starehe
  10. G7seven

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini ni pazuri ila ni hatari

    South bila kurusiwa kumiliki siraha ni mapimbi tu kama mapimbi wengine Africa sehemu hatari ni Congo, Tigray na Somalia
  11. G7seven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wanaotaka kuoa huku bado tegemezi nini wanachokimbilia

    Kitu kikubwa kitachoweza kufanya uwe na pesa za uwakika ni kuwa na uwezajikaji wa kudumu sio kujifungia ndani na mkeo ndani Kila siku mnakula mchicha na bamia kuhusu nguvu za kiume wanaume wengi walio oa ndio wanaongoza kutumia mi boster ya nguvu za kiume
  12. G7seven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    mabinti wengi wa miaka ya 90s na 2000s wengi wenu hamfai hamfai kabisa kuwa wake za watu mnaongoza kuposti ma video ya uchi mitandaoni,sio wavumilivu,hampendi kufanya kazi,mnapenda kupewa pewa ovyo mnatamaa,manadharau vijana wanao Fanya kazi ndogondogo kiufupi KATAA NDOA NDOA NI UTAPELI
  13. G7seven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana oeni, acheni janja janja

    KATAA NDOA NDOA NI UTAPELI
  14. G7seven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wanaotaka kuoa huku bado tegemezi nini wanachokimbilia

    Kuna wale wajinga wa fikra wanakwambia Kila mtoto anazaliwa na baraka
Back
Top Bottom