Storika Tz
Member
- Dec 18, 2023
- 17
- 47
Taja simulizi 3 bora ulizosoma JamiiForums 2023
Za kila aina"
Za kila aina"
Yunge Mkubwa na Yunge Mdogo. Umekuja mbio ukitegemea utatajwa kuwa ulikuwa na story nzuri kumbe ulikuwa unaandika ushuzi mtupu.African football league
Aisee! mbona kwa hasira sana ndugu?Yunge Mkubwa na Yunge Mdogo. Umekuja mbio ukitegemea utatajwa kuwa ulikuwa na story nzuri kumbe ulikuwa unaandika ushuzi mtupu.
Unajitahidi sana bro kuandika. Kongole kwako.Utafutaji hela ndio unanikosesha muda wa kuandika. Ila mambo yakitulia, nitaendelea nilipoishia
Shukrani 👊Unajitahidi sana bro kuandika. Kongole kwako.
Kwel mkuu analyse tuzingatie"Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee"
Analysemwaka unaisha simulizi mpya ujaipandisha kama ulivyonambia.
Rudia mwaka mzee1.Sasha mlinzi wa nafsi
2. Peniala
3.Do not shout- usipige kelele
4.Vita ya kisasa
5. FROM ISRA TO ISRA
safi sana ahadi yako naikumbuka mkuu kwako zako nimeweka kwenye fungu la elimu manake ni darasa kabisa la maisha.Shukrani 👊