Recent content by g vizy

  1. g vizy

    JamiiForums Tanzania Mchungaji: Baba ndio anapaswa kutoa Baraka kwa watoto na si Mama

    Kama uliwahi muona kwa macho ukiwa unajitambua jiconnect na uwepo wake,tamka maneno ambayo ulitamani kumwambia au kuhisi unapokua nae Nishati yake kwenye ulimwengu wa kiroho hutambua uzao wake na utapokea majibu Ni kama alishafariki tayari Na kama hukuwahi kumjua muulize mama yako kuhusu baba...
  2. g vizy

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Ndugu muandishi huyu ndiye kweka?
  3. g vizy

    JamiiForums Tanzania Mm sijaoa ila tayari mm ni baba wa watoto wawili.

    Ujionavyo wewe nafsini mwako ndivyo ulivyo Ila ulimwengu unakukumbusha kujua chochote ulichokipanda kama mbegu kwenye ardhi kinahitaji uangalizi wako kupata mazao unayotarajia vinginevyo magugu yakishamili utavuna pia
  4. g vizy

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

    Mtu anaweza kusoma namna unavyochezesha mikono yako na miguu inshort body gesture na akajua unachowaza
  5. g vizy

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wa kuja lindi liwale nije mkuranga 0694959212
  6. g vizy

    JamiiForums Tanzania Naona kama Kombe La Dunia la mwaka huu halina 'mzuka'. Ni mimi peke yangu?

    Iran Iran imekua maarufu imetufanya mpaka bei ya unga imepanda
  7. g vizy

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Kwa hiyo uwingi wa camera ndo ukubwa wa hard drive au inakua sio lazima kwa uzoefu wako kiongozi
  8. g vizy

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanajua ni muda gani sahihi wa kumshinda Mwanaume

    Umesomeka
  9. g vizy

    JamiiForums Tanzania Why me simpati mwanaume kama huyu i am tired kabisa

    AI UNAIWEKEA SOFTWARE UNAYOTAKA WEWE NA INAKUA HIVYO HIVYO KULINGANA NA MATAMANIO YAKO ILA KWA BINADAMU HUYO WA HIVYO HAYUPO
  10. g vizy

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Usiingie mkenge wa router za 5G za mitandao ya simu

    kama hii hapo
  11. g vizy

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Usiingie mkenge wa router za 5G za mitandao ya simu

    Hizi router kama hii inatumia chaji au unaconnect direct kwenye umeme
  12. g vizy

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Swahili Voice Over AI

    Mnapngelea kitu gani wakuu
  13. g vizy

    JamiiForums Tanzania Onyo : Aina 9 Ya Simu Ambazo Sikushauri Kununua

    Sony experia yangu imevilia kioo naweza rekebisha kioo ndugu muuzaji nikucheki
Back
Top Bottom