Leo nimeoma video hawa waasi yani hawa franco english walimkamata askari wa kike walampaka wakamtesa wakamvua wakamfunga minyororo wakamburuta kisha wakamchinja kama kuku na kumtoa kichwa.
Imenisikitisha sana yule askari alikuwa bado mdogo wanamburuta uchi katanua miguu maskini ila binadamu sisi...
Hakuna utapeli hata kidogo mkuu kwanza bei aliyotaja ni ndogo.
Zinguka machinjo yote mpaka mikoani hupati hii kitu maana kila machinjio watu wamekwisha weka order yani ni kama gemstone.
Soko lake ni china wanayatumia kwenye dawa yani yananunuliwa dunia nzima supplier mkubwa ni mexico lakini...
Hata uitestore still haitosaidia la msingi mtafute akupe verification code ingia kwenye icloud ubadirishe namba inayotakiwa kupokea verification code uweke yako basi.
Kwanza kabisa usinunue iphone 5 wala 5c maana apple ashaacha kuzipa support pia iphone5s ina support ila nayo huenda ataacha hivi karibuni maana apple anatabia ya kusupport simu kwa miaka 5 toka ameitoa. Hivyo chini ya iohone 5s hazipokea updates na apps nyingi kwa iohone 5 kurudi nyuma...
Assume hizo simu unazosema zina camera kali zikose whatsapp instagram youtube facebook and snapchat.
Zitanunulika hata kama zouzwe laki na nusu?
Nijibu lakini ziwe na wechat na apps za wachina
Na bei yake ilikuaje sokoni? Ni affordable eh? Jibu ni kuwa ni ghali sana.
Watu wanapenda hizo camera wapige picha wapost fb na insta na snapchat. Simu bila hizo social media za kimarekani kwa watu ni kopo.
Kama whatsapp fb snapchat google wakizuiwa kuisupport hiyo os basi huawei atafail
Tecno kateka soko la afrika kwasababu ni cheap na anatumia huduma ya android yenye apps pendwa za kimarekani. Aondoe hizo apps abaki kuwa cheap uone kama kuna atakaye nunua.
Mbadara wa hizi tecno wapo wahindi wana simu cheap sana za android zinaweza kuteka soko iwapo watapigwa ban kutumia apps...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.