Huawei tayari wamekamilisha Operating System (OS) yao

number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,929
Points
2,000
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,929 2,000
Microsoft na Blackberry Os zao walizifanyia monopolization. Na pia kwa kampuni ambazo ziliamua kutumia Microsoft kwenye simu zao basi walikuwa wanalipia. Sasa kwa mazingira kama hayo ulitegemea nini kiwapate? kama siyo kufa. Huawei hawezi rudia hayo makosa...
Hadi leo ios ni close source na awajawai toa leseni kwa kampuni yeyote na gharama cm zao lakin ni kampuni ya pili duniani kwa miaka 2 mfululizo
Ishu soko mkuu harmonyos hata akitoa bure na ofa ya soda kidg soko likitema basi ujue umeumia uzuri wengi wanachagua simu kwa ubora wa kamera sasa huawei waboreshe kamera na wauze kwa bei ya chips mayai watu watanunua lkn afanye mkataba na social media kubwa ili afanye vizur kama akuna watsapp sijui nn we ngoja tu utasikia mana wachina awana mana kabs
 
number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,929
Points
2,000
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,929 2,000
Blackberry alizingua na os yake kwa kuifanya monopoly.

Huawei simu zao ambazo ni gharama ni p series na mate series. Ila wana mid range flagships nyingi sana ambazo zina bei ya kawaida. Kitu ambacho iphone hana.
Sio kwel iphone alikua na 5c affordable akatoa SE na SE2 then kwenye 6 series ametoa iphone 6 ni bei poa sana tofauti na 6s pia kwenye iphone 6 plus na iphone 6s plus bei zinatofautiana sababu zina vigezo todauti sana ingawa zina fanana kabs fatilia ilo achana na bei za wabongo za kutupiga ukiongelea huawei pia still bado wametoka kwenye cheap products ndo cm mbadala kwa ulaya na marekani mkuu fatilia ilo utaona huawei bado ni flagship company baada ya samsung
 
James88

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
1,312
Points
2,000
James88

James88

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
1,312 2,000
Hadi leo ios ni close source na awajawai toa leseni kwa kampuni yeyote na gharama cm zao lakin ni kampuni ya pili duniani kwa miaka 2 mfululizo
Ishu soko mkuu harmonyos hata akitoa bure na ofa ya soda kidg soko likitema basi ujue umeumia uzuri wengi wanachagua simu kwa ubora wa kamera sasa huawei waboreshe kamera na wauze kwa bei ya chips mayai watu watanunua lkn afanye mkataba na social media kubwa ili afanye vizur kama akuna watsapp sijui nn we ngoja tu utasikia mana wachina awana mana kabs
Heheheh... eti huawei waboreshe kamera??? Hivi ww unazijua huawei kweli? Mwaka jana huawei p20 pro na mate 20 pro ndo zilikuwa zinabest camera ratings acxording to DXOmark...

Labda kama unaongelea camera ha huawei y300.
 
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
5,951
Points
2,000
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
5,951 2,000
Tunachokishuhudia huku afrika ni kama cheche tu ya mlipuko mkubwa!
Wenzetu walishanyatiana siku nyingi.

Mwanzo wa mchezo huu china itapigwa ngumi nyingi za fasterfaster ila mbeleni marekani itaenda kushika mkia unaowasha
 
James88

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
1,312
Points
2,000
James88

James88

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
1,312 2,000
Sio kwel iphone alikua na 5c affordable akatoa SE na SE2 then kwenye 6 series ametoa iphone 6 ni bei poa sana tofauti na 6s pia kwenye iphone 6 plus na iphone 6s plus bei zinatofautiana sababu zina vigezo todauti sana ingawa zina fanana kabs fatilia ilo achana na bei za wabongo za kutupiga ukiongelea huawei pia still bado wametoka kwenye cheap products ndo cm mbadala kwa ulaya na marekani mkuu fatilia ilo utaona huawei bado ni flagship company baada ya samsung
SE ilikua affordable upo serious kweli ww? hivi unajua SE inauzwa gharama kuliko 5s na 6. Yaani SE ni level za 6s...

5c unasema ilikuwa affordable bei ilikuwa ah ngapi?

Saiv wametoa XR inauzwa $700 halafu kwao ndo wanaita budget phone.

wakati huawei mate 30 lite inachezea kwenye $300...
 
G

G-traveller

Member
Joined
Jul 20, 2019
Messages
23
Points
80
G

G-traveller

Member
Joined Jul 20, 2019
23 80
Heheheh... eti huawei waboreshe kamera??? Hivi ww unazijua huawei kweli? Mwaka jana huawei p20 pro na mate 20 pro ndo zilikuwa zinabest camera ratings acxording to DXOmark...

Labda kama unaongelea camera ha huawei y300.
Na bei yake ilikuaje sokoni? Ni affordable eh? Jibu ni kuwa ni ghali sana.
Watu wanapenda hizo camera wapige picha wapost fb na insta na snapchat. Simu bila hizo social media za kimarekani kwa watu ni kopo.
Kama whatsapp fb snapchat google wakizuiwa kuisupport hiyo os basi huawei atafail
 
James88

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
1,312
Points
2,000
James88

James88

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
1,312 2,000
Tatizo siyo bei tatizo ni huduma. Watu wakienda nunua simu wanachouliza ina support facebook, ina support whatsapp, ina support insta ina youtube
Hiyo OS yao bila hivyo vitu itafail.
Kuna simu nyingi toka ulaya na Marekani bado zina android ila hazina majina makubwa na ni cheap zitaanza kuwa maarufu.
Na samsung anajua hili umeona ameanza toa mid range affordable phone kushindana na chinese compabies mfano hizi samaung A10
Mchina ana copy za huduma almost zote za kimarekani lakini ni nani nje yao anatumua weibo mbadara wa youtube, wechat mbadara wa whatsapp na ina huduma kibao humo kama alipay na huduma nyiingi sana?
OS siyo tatizo tatizo ni developers wa kutengeneza apps pendwa zinazo support hiyo OS na apps nyingu pendwa ni za Wamarekani
Hebu ntajie mfano wa simu kutoka ulaya na marekani ambazo ni mid range halafu hazifahamiki....
 
James88

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
1,312
Points
2,000
James88

James88

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
1,312 2,000
Na bei yake ilikuaje sokoni? Ni affordable eh? Jibu ni kuwa ni ghali sana.
Watu wanapenda hizo camera wapige picha wapost fb na insta na snapchat. Simu bila hizo social media za kimarekani kwa watu ni kopo.
Kama whatsapp fb snapchat google wakizuiwa kuisupport hiyo os basi huawei atafail
Huawei hata budget phone yake ya sasa hivi ina camera kali. mifano kama honor 5 na nova 5...
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
3,875
Points
2,000
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
3,875 2,000
we boya quora ni kama wikipidia hata wewe unaweza weka ujinga wako unaoongelea hapa...hizo nimekupa media house kubwa hata kama ukweli huupendi ila lazima useme ukweli
Nimekuwa boya tena? hivi ni wapi nimekutukana mimi hii ni dalili ya kushindwa Wikipedia sio sawa na Quora.
.
Quora ni sawa na JF unauliza swali unajibiwa na mijadala mingine mbalimbali ukileta ujinga unapigwa ban fasta tu, nimekueleza hivi hizo links unazoleta ni za U.S ambao unawaponda kwanini nilisema hivi?
.
Ulisema Quora ni pro westerners wengi wamejaa kwanza nilicheka kuangalia CNBC ni ya wapi nikacheka zaidi kuangalia Techradar ni ya wapi nikajikuta nacheka hadi nanyanyua miguu juu alafu hizihizi media zikitoa habari kuhusu Iran mnasema ni fake news ila kwenye Huawei ni kweli pole sana mzee.

Moderator Maxence Melo sheria za JF zinaruhusu hiki?
 
number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,929
Points
2,000
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,929 2,000
Heheheh... eti huawei waboreshe kamera??? Hivi ww unazijua huawei kweli? Mwaka jana huawei p20 pro na mate 20 pro ndo zilikuwa zinabest camera ratings acxording to DXOmark...

Labda kama unaongelea camera ha huawei y300.
Swala la camera duniani tafuta oneplus alafu naoosema kuboresha camera mkuu kila leo matoleo mapya yanakuja sasa sio ndo mwisho wa ubunifu
 
number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,929
Points
2,000
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,929 2,000
SE ilikua affordable upo serious kweli ww? hivi unajua SE inauzwa gharama kuliko 5s na 6. Yaani SE ni level za 6s...

5c unasema ilikuwa affordable bei ilikuwa ah ngapi?

Saiv wametoa XR inauzwa $700 halafu kwao ndo wanaita budget phone.

wakati huawei mate 30 lite inachezea kwenye $300...
Ndugu yng kwa best price unacompare na simu gani hivi ukiongelea simu cheap price huawei ipo kwenye cheap is this a joke or huawei iko kwenye simu za gharama mkuu kuna tecno infinix oppo honor ingawa huyu ndugu na huawei utasemaje oneplus je naposema nafuu ni kwamba apple anatoa unafuu kidg dhidi ya zile zenye bei ya juu mtindo huu hata samsung anafanya wengine wanapenda masimu mavioo makubwa lakn uwezo awana so wanapunguza baadhi ya components chips ili kuwa nafuu
 
James88

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
1,312
Points
2,000
James88

James88

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
1,312 2,000
Ndugu yng kwa best price unacompare na simu gani hivi ukiongelea simu cheap price huawei ipo kwenye cheap is this a joke or huawei iko kwenye simu za gharama mkuu kuna tecno infinix oppo honor ingawa huyu ndugu na huawei utasemaje oneplus je naposema nafuu ni kwamba apple anatoa unafuu kidg dhidi ya zile zenye bei ya juu mtindo huu hata samsung anafanya wengine wanapenda masimu mavioo makubwa lakn uwezo awana so wanapunguza baadhi ya components chips ili kuwa nafuu
Huawei ipo kwenyw simu za gharama???? utachekwa ww....
 
James88

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
1,312
Points
2,000
James88

James88

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
1,312 2,000
Swala la camera duniani tafuta oneplus alafu naoosema kuboresha camera mkuu kila leo matoleo mapya yanakuja sasa sio ndo mwisho wa ubunifu
Hehe nitafute One plus ha nini? Simu zenye camera kali kwa sasa kuna Samsung s10 5G na huawei mate 30 pro labda ndo atafata huyo One Plus 7t... kwa mid range smartphones kuna google pixel 3A kuna honor 5 pro pamoja na huawei nova 5 pro na Xiaomi moja hivi jina limentoka.
 
G

G-traveller

Member
Joined
Jul 20, 2019
Messages
23
Points
80
G

G-traveller

Member
Joined Jul 20, 2019
23 80
Huawei hata budget phone yake ya sasa hivi ina camera kali. mifano kama honor 5 na nova 5...
Assume hizo simu unazosema zina camera kali zikose whatsapp instagram youtube facebook and snapchat.
Zitanunulika hata kama zouzwe laki na nusu?
Nijibu lakini ziwe na wechat na apps za wachina
 
number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,929
Points
2,000
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,929 2,000
Hehe nitafute One plus ha nini? Simu zenye camera kali kwa sasa kuna Samsung s10 5G na huawei mate 30 pro labda ndo atafata huyo One Plus 7t... kwa mid range smartphones kuna google pixel 3A kuna honor 5 pro pamoja na huawei nova 5 pro na Xiaomi moja hivi jina limentoka.
img_5531-jpg.1181111

Mkuu unafuu wa bei gani kwa huawei unazungumzia wewe yani hapo ungechukua simu gani hapo kati ya izo simu 2 sizungumzie kuwa zipo huawei za bei ndogo mana hata samsung pia wanazo kama unavyojua samsung leo wanauza series ya A kuliko wengine kwa simu za bei poa mkuu nadhani unajua hili
 
James88

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
1,312
Points
2,000
James88

James88

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
1,312 2,000
nilikuambia simu pekee za gharama kwa huawei ni mate series na p series. The rest ni mid range kama siyo budget phones. Huawei anazalisha mid range na low end nyingi kuliko anavozalisha high end. unakwama wapi?
Ndugu yng kwa best price unacompare na simu gani hivi ukiongelea simu cheap price huawei ipo kwenye cheap is this a joke or huawei iko kwenye simu za gharama mkuu kuna tecno infinix oppo honor ingawa huyu ndugu na huawei utasemaje oneplus je naposema nafuu ni kwamba apple anatoa unafuu kidg dhidi ya zile zenye bei ya juu mtindo huu hata samsung anafanya wengine wanapenda masimu mavioo makubwa lakn uwezo awana so wanapunguza baadhi ya components chips ili kuwa nafuu
 
Forum statistics

Threads 1,326,605
Members 509,543
Posts 32,228,258
Top