Walinzi binafsi kwa Kondeboy na Diamond ni Business branding.

Branding? majivuno tu, hivi hizi mbwembwe za kujikuza kupita kiasi zipo kwa wanamuziki ama celebrities weusi tu? kuvaa sijui michain ya bei ghali, walinzi rundo, kujionyesha una hela nyingi kwa nini ni weusi tu ndio wapo hivi?

Kuna wanamuzii wazungu wakubwa tu kama akina Ed Shereen,Justin Timberlake, Adam Levine, Taylor Swift, Adele wapo simple sana ila brand zao ni kubwa sana kupita wanamuziki wengi weusi
 
Kuna wanamuzii wazungu wakubwa tu kama akina Ed Shereen,Justin Timberlake, Adam Levine, Justin Bieber Taylor Swift, Adele wapo simple sana ila brand zao ni kubwa sana kupita wanamuziki wengi weusi
Justin beiber alitumia kiasi cha tshs 200,000,000 kupiga rangi rambourgin yake ifanane na nguo atakayofaa siku ya tukio flani...
 
Branding? majivuno tu, hivi hizi mbwembwe za kujikuza kupita kiasi zipo kwa wanamuziki ama celebrities weusi tu? kuvaa sijui michain ya bei ghali, walinzi rundo, kujionyesha una hela nyingi kwa nini ni weusi tu ndio wapo hivi?

Kuna wanamuzii wazungu wakubwa tu kama akina Ed Shereen,Justin Timberlake, Adam Levine, Taylor Swift, Adele wapo simple sana ila brand zao ni kubwa sana kupita wanamuziki wengi weusi
Tafuta hela acha kulalamika
 
Unajua inasikitisha mtu kuwa hujui na kujifanya kuwa ndio wewe unajua sana, hapa namzungumzia kile kinachoendelea kwa Harmonize na Diamomd hawa jamaa wameonekana na walinzi wengi na baadhi ya watanzania wasiojua dunia inazungukaje wanatoa comment 'ushamba' kama wewe mmoja wao nasema wewe hata kufanikiwa kwenye biashara uwenda ikawa ngumu sana.

Hizo showoff na machejo ya hawa watu ndio biashara yenyewe wanaji-brand inawafanya muda wote kuteka attention ya public mbali Kampuni yoyote ile ikitaka kufanya Deal hatuwezi fanya Deal na mtu mzembe wanaangalia biashara ipo wapi

So msanii anayefanya vizuri, anayejua kuteka attention za watu na kutengeneza kiki Deal lazima liwe kwake Voda watakuwa wajinga wakisaini Deal na Kiba, Aslay...ila watakuwa wajanja wakisaini Deal na Diamond au Kondeboy wanaangalia Attention ipo wapi ila sie watanzania tusiojua biashara tupo ushamba ushamba mbona MO na Bakharesa hawafanyi hivyo..You need to differentiate MO ni nani na Diamond ni nani.

Bodyguard ni ulinzi hii dunia imechafuka usione upo kwenye amani una-drink Azam ukwaju ila kwa mtu kama Diamond na Kondeboy pia ni njia ya kuji-value/Branding na ndio maana tunaona Diamond anazidi kufanikiwa na Kondeboy anafata nyayo hizo hizo atakuja kula Deal nyingi tu baadae tusiwe na imani potofu “Kiba anaishi kawaida” huo ni uzembe wake hajui biashara wacha wanaojua biashara wakamate Deal nyingi.
Hao mabodguard ata hawalipwi mzee wanataka kuonekana apo ili iwe rahisi kuombwa kwa ajili ya ulinzi sehemu nyingine kwa gharama kubwa kwa maana nyingine wanajibrand
 
1. Ni business branding (inawasaidia kujibrand kibiashara) Thamani ya msanii inaongezeka ndani na nje ya nchi

2. Ni katika kugawana riziki, wewe unadhani wasipowachukua hao bodyguards, je riziki watapata wapi katika kazi yao ya ulinzi?
 
Back
Top Bottom