Recent content by g stable

  1. g stable

    Broken hearted

    usjal ni mapito rafik yangu, kuna kipindi iliwah nitokea hiyo hali ila ilinigarimu mana nilikosa furaha amani na kuona wadada sio. Ila nashukur mungu nilifanya maamuz magumu ya kutorudi mahali pale japo alitaka nirudi mi nikasimamia ukweli kuwa staki kutumika
  2. g stable

    Ushauri wako ni muhimu zaidi kwangu

    kwanza kabisa usikimbilie kwenye ndoa ukaamini ndiyo kuna furah, wakati hapo ulipo unapata furaha sema ni upweke unaohitaji subira, imagine huyo anayetaka kukuoa ujamjua vizur, je anawatoto wangapi? Na ushawah hisi kitu kuwa kuna watu kama hao wakifa mtoto wako harithi kitu hapo? Atarithi wake...
  3. g stable

    Mapenzi yamezaliwa usukumani, tuacheni ubishi

    Hahaaha! Nimecheka hapa ila hi thread safi sana, of coz mi najikita kwa wakaka kuhusu wakaka wa kisukuma wengi wanajua kupenda, ni watu wanaojali wanawake zao, na ni wachapakazi sana. Wanaweza kuhimili au kuvumilia matatizo kwa kiasi kikubwa sana hasa akikupenda, huwa hasa wanapenda mabinti...
  4. g stable

    Msaada wa kisheria kuhusu ndoa ya Mengi na K-Lynn

    Sioni umuhimu wa kujadili hi post humu, kwanza inakiuka privacy ya mtu, na haileti mafundisho yoyote hapa, kwanza kumbuk mzee mengi ni msomi, na anamwanasheria wake bw michael ngalo, huyu ni mshaur wa maswala yote ya kisheria juu ya mzee na kampuni. Hakuna kilichovunjwa hapo, by the way naomba...
  5. g stable

    Kumshtaki aliyenitukana kupitia simu

    Kesi isiyo na maana hiyo haiitaj hata wakili
  6. g stable

    Gari Toyota Colora Dx inauzwa, bei maelewano

    mi nikajua ni gari inauzwa kumbe ni toroli la kisasa, sasa hizi gar hata sizioni sku iz hazipo nyingi zishakufa sana. Haya unauza laki 3 au nne mana hata nne na nusu sichukui.
  7. g stable

    Tanzania Law Report

    Ni cheki hapa 0712619975
  8. g stable

    Mabasi yanayokimbia sana kwa sasa Tanzania

    Yan we ni mshenzi sana, nasema sio mpumbavu ni mjinga, huwez andika uharo kama huu ukasifiwa au ukasema ni uhalisia bila shaka huna gar, ujui gar na huwa upandi gar. Nakushaur nenda kitengo cha usalama barabarani kaangalie tafiti kisha ndio uje na uharo wako hapa
  9. g stable

    Msaada wa kisheria juu ya uhalali wa kuzumgumza na wafungwa

    Kisheria huwezi, sababu hakuna sheria au utaratibu unaoruhusu hicho kitu kwa mtu binafsi, isipokuwa wanaoruhusiwa kuingia gerezani na kuongea na wafungwa ni tls yan chama cha wanasheria, na hawa wanafanya mara moja tu kwa mwaka yan desemba 16 zile siku 16 za ukatili wa kijinsi zikishapita ndio...
  10. g stable

    Pata Sheria mbalimbali za Tanzania bure hapa!

    www.jukwalasheria.blogspot.com
  11. g stable

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    We kwa hiyo humu ndio utapata mke? Hivi unaakili wewe? Na elimu yako yote hiy inakutuma kuwa humu ndo utapata mke? Unahitaji rafik wa kuchat au mke? Mana we inawezekana hujui unachonena, kwa ushaur wangu ni kuwa humu hupati mke kwa njia hiyo
  12. g stable

    Msaada wa learning material

    nicheki hapa 0712619975
  13. g stable

    Msaada wa sheria

    ni cheki hapa nikupe fasta 0712619975 ninavitabu vyote unavipata hapo hapo ulipo.
  14. g stable

    Nahitaji vitabu vya Sheria (LLB)

    alfredy waambie wananchi mi ninavyo we mteja wangu sana wadhibitishie kuwa kwangu ushanunua sana tu, embu wanicheki hapa 0712619975 soft copy ya haraka kwa vitabu na material yote ya law
Back
Top Bottom