Pata Sheria mbalimbali za Tanzania bure hapa!

Mkuu hiyo URL haina sheria zote

Sioni haja kama unastahili thanks!
 
To all my learned friends, here is a link where you can download all Tanzanian Legislations for free!

http://www.lexadin.nl/wlg/legis/nofr/oeur/lxwetan.htm

Usisahau kunibonyezea kudude cha thanks!!
Mkuu,
Nashukuru sana kwa msaada wako wa kisheria.
Ila nahitaji kujua ni njia gani za kufanya ili kuweza kutoa talaka kwa mwenzangu (mwanamke)
  • Ndoa yetu ni ya kikristu (RC),
  • Tulibatika kupata watoto wawili wote wa kiume, wa kwanza ana miaka 22 ameitimu kiadto cha nne na wa pili ana miaka yuko kidato cha pili, namsomesha,
  • Ninakatwa mshahara wangu zaidi ya shilingi laki mbili kila mwezi kwa ajili ya matunzo yake na watoto,
  • Tangu tutengane tuna zaidi ya miaka kumi na nne.
  • Hivi sasa nimeoa.
 
Wadau, nahitaji kufahamu ni wapi (katika mtandao upi) naweza kupata sheria mbalimbali za nchi yetu kwa ukamilifu wake. Mara nyingi kumekuwa na utamaduni wa kunukuu vifungu vya sheria fulani fulani na hii mara nyingine inatunyima fursa ya kuzifahamu sheria hizi kwa ukamilifu wake kimahudhui. nimejaribu kuangalia kwenye tovuti ya bunge - kinachoonekana ni miswada inayotegemewa kusomwa.
 
kama uko tiari kuzitafsiri/kuvitafsiri vifungu hivyo vya sheria volivyo anzwa kutungwa tangu bunge la jamhuri linaanzishwa hadi mwaka2014 kutoka english to kiswahili sema kwa maana sheria zote zimeandikwa kwa kiingereza na kusha kutafutiwa tafsiri kwa lugha ya kishwahili.Kama unaumuhu nazo ingia www.johnsalim1994.blogspot.com acha maoni yako hapo na hivyo tutakupatia ufumbuzi
 
kama uko tiari kuzitafsiri/kuvitafsiri vifungu hivyo vya sheria volivyo anzwa kutungwa tangu bunge la jamhuri linaanzishwa hadi mwaka2014 kutoka english to kiswahili sema kwa maana sheria zote zimeandikwa kwa kiingereza na kusha kutafutiwa tafsiri kwa lugha ya kishwahili.Kama unaumuhu nazo ingia johnsalim1994 acha maoni yako hapo na hivyo tutakupatia ufumbuzi

www.jukwalasheria.blogspot.com
 
Wadau, nahitaji kufahamu ni wapi (katika mtandao upi) naweza kupata sheria mbalimbali za nchi yetu kwa ukamilifu wake. Mara nyingi kumekuwa na utamaduni wa kunukuu vifungu vya sheria fulani fulani na hii mara nyingine inatunyima fursa ya kuzifahamu sheria hizi kwa ukamilifu wake kimahudhui. nimejaribu kuangalia kwenye tovuti ya bunge - kinachoonekana ni miswada inayotegemewa kusomwa.
bofya hapa DOWNLOADS ~ SHERIA TANZANIA
 
Wakuu, ninatafuta sheria hizi. Ninahitaji hard copy original

*Criminal Procedures Act
*Tanzania Evidence Act
* Penal code
*Civil Procedures Code Act

Wanauzaje kwa kila kimoja?


Kwa sasa nipo Dar
 
Back
Top Bottom