Limtokalo MTU ndilo liujazao moyo wake, hiyo ikionyesha wazi kabisa wewe umekidhi vigezo na masharti yote kikamili kwa kuitwa "KICHECHE" pia "KAHABA MKUBWA"
Utamaduni ngono bhana!!!!!!!!!! Nawaambia huyu naye hajajua kama na yeye kashachinjwa kwa STD kwa hiyo hili ni swala lenye kuhitaji watu wenye ufahamu na ujuzi ili apate kushaurika. Pole sana kaka. "NGOMA IKIVUMA SANA ........... KUPASUKA." WAJUZI TUNAKUPA POLE. ukiulizwa swali la ufahamu...
Sector nyeti na mbovu na yenye dharau na wingi wa rushwa ni Tanesco. Pia kwanini Muheshimiwa asiifanyie hii sector ziara za kushtukizia kwanzia aingie mjengoni?
Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia (bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina).
Ni vema kufahamu kuwa, katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi navimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu, wakiwa na lengo la kutulinda...
Tafadhalini tujifunze kutumia lugha nyepesi zisizokuwa na matusi pia ruksa kutumia mfano wa mtu yeyote au picha kwa ajili ya ufafanizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokujua au kutokuelewa kubaya. Hebu tupe andiko ambalo linamtetea huyo kwa kujiektisha ananena kwa lugha. Ni uongo mtyupu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.