hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,406
- 73,327
HahaaEndelea kupika chai tutainywa hivyo hivyo hata kwa kufumba macho
HahaaEndelea kupika chai tutainywa hivyo hivyo hata kwa kufumba macho
Huwa nakwenda benk naomba buku buku za elfu hamsiñi nachanganya na makaratasi mengi inaonekana bundu kubwa kinachofuata mbupu
Dah yani ukiona coment kama hizi inabidi uishie kuwahurumia tu wadadaHuyo mwanamke anayekamatwa kwa pilau na kuku huwa hata kuoga anajua kweli?
Hahaa ......Huwa nakwenda benk naomba buku buku za elfu hamsiñi nachanganya na makaratasi mengi inaonekana bundu kubwa kinachofuata mbupu
HahaMhhhh unataka kumtafuna na Zero IQ
HahaNikupikie mimi mkuu baharia mzoefu kabisa mkuu Are you Serious?
Acha kumtisha mwenzio hujui dhumuni lake labda hilo ndo lengo lake? Usitake tufananeInaonekana huna ndoto na malengo.
Endeleza huo ufugaji uwe wa tija na faida yake utaiona.
Hakuna aliyefanikiwa hapa duniani kwa kuendekeza starehe tena hasa wanawake.
Utanikumbuka
Raha sanaUtoto bwana![]()
Unawaonea huruma hawa viumbe![]()
![]()
![]()
Dah yani ukiona coment kama hizi inabidi uishie kuwahurumia tu wadada
Afu nyie mmekomalia utoto raha hivi mnamaanisha niniRaha sana
Upo sahihi mku maliza Mambo ya ujana ukiingia jela umeingia mazimaMm mara nyingi napenda kusema kama unakula raha kula kabisa ili ukileta mke usiwe umebakiza chochote ambacho ukufanya ujanani ukaja kumtesa bule mkeo. Ninaoa mwakani ila sitaki nije kumpa shida mke wangu kwahyo starehe zote nimeishafanya nimebakiza kuoa tu.
Mkuu wema wote huo kupika unaona tabuNikupikie mimi mkuu baharia mzoefu kabisa mkuu Are you Serious?
Huyo harudi tenaMe sina haja ya kusema sijui Pilau sijui kuku...!!
KARIBU GETO UJE UNISALIMIEE BHASIyani imeishaa hiyoooo
Mhhhh unataka kumtafuna na Zero IQ
Tunamaanisha utoto rahaAfu nyie mmekomalia utoto raha hivi mnamaanisha nini
Haya mkuu nimekuelewaTunamaanisha utoto raha
nisiwe m baguzi wa ukarimu karibu nikuchinjie kukuWanazaliana sana mkuu kama wanajua lengo langu