Mitego mahiri ya kunasa warembo

Mitego mahiri ya kunasa warembo

Katika harakati za kunasa warembo niliamua kufuga kuku kwangu ukawa ndio mtego mzuri nikipata mrembo namwambia nahamu na pilau kuku ila sijui kupika anakwambia nunua kuku mi namwambia kila kitu ninacho tatizo sijui kuandaa basi atapanga siku anakuja mapema akifika namwambia achague kuku gani nimchinje namuonesha jiko anaomba nimuoneshe chumba aingie abadili nguo sasa ndio mtihani unapoanzia anatoka na khanga moja au mtandio unaona kila kitu anaingia jikoni na kuwasha ges anaanza kukaangiza akimaliza tunakula tukimaliza anahitaji aende kuoga hapo ataomba taulo ntampa atavua nguo zote zilizobaki mwilini ataingia bafuni akitoka tu ndio mda wangu wa kumtafuna yeye huu mtego umenasa wengi sana. Lete wako tu share experienceView attachment 1088460

Unaukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa mambo yakipumbavu kabsaa yanayomuudhi Allah! Ndugu yangu Muislamu Muogope Mola wako. Omba mods aufyekelee mbali huu uzi...

Hakika dunia imejaa ghururi, basi yasikudanganyeni maisha ya dunia wala asikudanganyeni yule mdanganyi mkubwa (Ibilisi) katika (mambo ya) Mwenyezi Mungu. Dunia itupeni mbali kama vile Mwenyezi Mungu Alivyotutaka na itafuteni akhera yenu, kwani Mwenyezi Mungu Ameipigia mfano dunia[1].

"Na wapigie mfano wa maisha ya dunia ni kama maji tunayoyateremsha kutoka mawinguni; kisha huchanganyika nayo mimea ya ardhi kisha ikawa majani makavu yaliyokatikakatika ambayo upepo huyarusha huku na huko. Na Mwenyezi Mungu Ana uweza juu ya kila kitu.

"Mali na watoto ni pambo la maisha ya dunia. Na vitendo vizuri vibakiavyo ndivyo bora mbele ya Mola wako kwa malipo na tumaini bora (kuliko hayo mali na watoto)". Al Kahf - 45 – 46

Nakuusieni waja wa Allaah kumuogopa Allaah, kwani Taqwa ni jambo bora la kunasihiana baina ya waja wa Allaah, na ndiyo amali Anayoridhika nayo Mwenyezi Mungu kutoka kwa waja wake.

Mumeamrishwa kumcha Mungu na kwa ajili ya wema mumeumbwa, kwa hivyo ogopeni yale Allaah Aliyokutahadharisheni nayo, kwa sababu Amekutahadharisheni na adhabu kali kabisa.

Muogopeni Mwenyezi Mungu kuogopa kwa kweli na tendeni matendo yenu bila ya kujionesha kwa watu wala kutaka sifa au umaarufu, kwani mwenye kufanya amali yoyote ile kwa ajili ya kujipendekeza kwa mwengine asiyekuwa Allaah, basi Mwenyezi Mungu Humsukumiza nazo amali zake kwa huyo aliyemfanyia amali hiyo.

Ogopeni adhabu ya Mwenyezi Mungu, kwa sababu Hajakuumbeni kwa upuuzi, na wala Hakuacha chochote kiende ovyo. Keshataja athari zenu na Keshajua siri zenu na kuzihesabu amali zenu na kuziandika ajali zenu. Kwa hivyo dunia isikubabaisheni kwani inawaghururisha watu wake, na ameghurika yule atakayebabaishwa nayo.

Na jueni ya kuwa Akhera ndiyo makazi ya milele
 
Amin inshallah
 
Ukiwa mtoto una enjoy sana

Katika harakati za kunasa warembo niliamua kufuga kuku kwangu ukawa ndio mtego mzuri nikipata mrembo namwambia nahamu na pilau kuku ila sijui kupika anakwambia nunua kuku mi namwambia kila kitu ninacho tatizo sijui kuandaa basi atapanga siku anakuja mapema akifika namwambia achague kuku gani nimchinje namuonesha jiko anaomba nimuoneshe chumba aingie abadili nguo sasa ndio mtihani unapoanzia anatoka na khanga moja au mtandio unaona kila kitu anaingia jikoni na kuwasha ges anaanza kukaangiza akimaliza tunakula tukimaliza anahitaji aende kuoga hapo ataomba taulo ntampa atavua nguo zote zilizobaki mwilini ataingia bafuni akitoka tu ndio mda wangu wa kumtafuna yeye huu mtego umenasa wengi sana. Lete wako tu share experienceView attachment 1088460
 
Pumbafu sana.. huna hata kakibanda ka tigopesa unaleta huu upuuzi.

Back
Top Bottom