Recent content by fyddell

  1. fyddell

    JamiiForums Tanzania WAPENDA MATRAKO HARMONIZE KIMEMLAMBA HUKO

    Lazima uchanganyikiwe🤣
  2. fyddell

    JamiiForums Tanzania WAPENDA MATRAKO HARMONIZE KIMEMLAMBA HUKO

    Oh manager wa makampuni kwako 10 mil seem to be small amount of money ila kwa wengine ni nyingi sana. Wacha machozi yawatokeee......
  3. fyddell

    JamiiForums Tanzania JF hauwezi pata mwenza kabisa!

    Salamu zitamfikia. Asante sana
  4. fyddell

    JamiiForums Tanzania JF hauwezi pata mwenza kabisa!

    Umeamua kuchimbua makaburi ya watu🤣🤣
  5. fyddell

    JamiiForums Tanzania JF hauwezi pata mwenza kabisa!

    Yupo, tumemua mambo yetu yawe private. Ndiomana nikamwambia mleta mada kuwa yeye ni mgeni humu, akiwa serious atampata wa kuendana nae na mambo yatakuwa super kati yao.
  6. fyddell

    JamiiForums Tanzania JF hauwezi pata mwenza kabisa!

    Wewe ni mgeni humu. Don't make a final conclusion kuhusiana na swala hili
  7. fyddell

    JamiiForums Tanzania Ila maisha.🔥🔥

    Life is a full of surprises if you've not prepared yourself.
  8. fyddell

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi miaka yote hiyo, umefika miaka 40 ndio unaanza kupambana?

    Upo sahihi mkuu.
  9. fyddell

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kwenye biashara, mauzo milioni 800

    Mkuu umeacha neno milioni 800,000,000/=🤣
  10. fyddell

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kwenye biashara, mauzo milioni 800

    Kwa ujinga huu?!!🤣🤣
  11. fyddell

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kwenye biashara, mauzo milioni 800

    Hivi unajua ulichoandika hapo?! Pamoja ni kwamba ni mfanyabiashara kama ulivyojinasibu lakini you're lacking something mathematically. Being overwhelmed isikufanye udhihirishe ujinga ulionao kichwani. Hata anayeongoza kwa utajiri duniani hana hiyo hela uliyoiandika hapo🤣
  12. fyddell

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi miaka yote hiyo, umefika miaka 40 ndio unaanza kupambana?

    Oh sasa ndio najitambua in early 40, mwanzo yalikuwa ni yaleyale maisha ya ujana ukiwa na mafanikio kula bata na kusogeza mipango mbele. Ila yote juu ya yote inategemea umekulia katika jamii ya aina gani na mazingira yaliyokuzunguka kuanzia ya kifamilia na mengineyo. Hakjna watu wanaochelewa...
  13. fyddell

    JamiiForums Tanzania Kama umri ungerudi nyuma, kosa gani usingethubutu kulifanya tena kwenye mahusiano?

    Mbona umepotea kule? I'm missing you badly🥰
  14. fyddell

    JamiiForums Tanzania Hivi, ni lazima au sio lazima kwa mzazi kumchangia kijana wake mahari anapotaka kuoa?

    Kuna baadhi ya makabira mtoto anapotaka kuoa mzazi ndio analipa mahali na atakapotaka kuongeza mke mwengine mahali hiyo ni jkumu lake na si la mzazi tena.
  15. fyddell

    JamiiForums Tanzania Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

    Ni wale wale zaidi sana ni kubadirisha ofisi tu
Back
Top Bottom