Recent content by FX guru

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani unaongoza kwa mbu Tanzania?

    Pwani ya Kusini huku ni balaa
  2. F

    JamiiForums Tanzania samaki Aina ya GOGO

    Hawa ni Samaki wa Msimu kwetu Huwa wanapatikana Kwa wingi saans mwezi 6/7 yaaani mtaa mzima unanukia GOGOGO TU !!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Bila Magufuli kuwa Rais wa Tanzania haya yasingewezekana kutokea ndani ya kizazi chetu

    Ujenzi wa Dalaja la wami Ujenzi wa Dalaja la Tanzanite Ujenzi wa hospitali ya Rufaa Mtwara Upanuzi wa Ghati ya bandari beth 01 &2 Mfugale bridge Tazara Stand ya Magufuli Hospitali ya Rufaa Mbeya Hospitali ya Rufaa chato Kiwanja Cha ndege chato( nongwa) Ikulu chamwino SGR Mwendokasi Mbagala...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa bandari kavu ya Kwala ni kama kumsumbua Rais, kama unabisha tazama picha ya bandari kavu yenyewe ilivyo

    SAWA ni bandari kavu mbona Haina ukuta wa uzio, usalama wa Mali za wateja upoje .kamishina wa TRA azuie kwanza matumizi mpaka ukuta ujengwe ndio ianze kazi
  5. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nina Tsh. Milioni 25, nifanye biashara gani?

    Fanya hiyo hiyo biashara iliyokupa milioni 25
  6. F

    JamiiForums Tanzania Bei ya kitanda Cha mninga?

    Nenda Banda la Maonyesho la JkT utapata
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polepole halioni hili? Ni makusudi au bahati mbaya?

    Wewe nae Bhana unakomaza fuvu saaana Kwa Hoja nyepesi Huyo unaemtetea Uraisi si aliupata Kwa kurithi niwapi SSH aliwahi kuwania kiti Cha Uraisi Kwa nafasi ya Raisi mpaka asitahili awamu Mbili ? Mfano!! Irani Raisi alikufa Kwa ajili ya ndege , kutokana na katiba yao Makamu wa Rais anakaimu kiti...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polepole halioni hili? Ni makusudi au bahati mbaya?

    Kwa Jiyo maika mitano ametumika Kama Rais!! Nikweli kabisa ila tambua Kabla yakuwa Raisi Samia alikuwa makamu wa Rais ,Na utambue uraisi wake ulitomana na katiba baada ya Raisi kufia Madarakani .Nilivyomuewa Polepole nikwamba Mama asingeweza kugombea uraisi ndani ya chama kwasababu nidesturi...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Utumie mbinu gani kulielewa somo la calculus

    Calculus nilikuwa sikosi swali Enzi zangu
  10. F

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kikurya ni nomaa

    Wanawake wa kikurya mbususu wanatoa saana Hasa akikutana na mkurya mwenzie lazima aichape TU!!
  11. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

    ACHA uongo kwahiyo Huo mkutano mkuu ukiamua kuchagua Gigy money kuwa Raisi ni SAWA? Polepole kaeleza vyema usitufanye Kama hatukuelewa Inshu nikufata dual process yakumtafuta mgombea mchakato ambao unamtaka mgombea uraisi aupitie ikiwa nipamoja na kuchukua form ,kutafuta wadhamini Bara na...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tusimwonee Samia, Tusimbeze Polepole - Katiba ya nchi inasemaje? SAMIA HANA KOSA!

    Mbona Sasa umembeza pole pole !!! Jibu hoja za polepole au nawe miongoni mwa wahuni. Aliowataja polepole?
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nilibakwa na majambazi nimepata ujauzito

    Mnashauli ujinga TU nahivyo vingereza vyenu !! Unamshauli azae na jambazi hiyo roho yaujambazi ikiibuka kwahyo mtoto itakuwaje sasa
  14. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nilibakwa na majambazi nimepata ujauzito

    Toa hiyo mimba utazaa litoto lenye vinasaba vya kijambazi TU!!! Hakuna Cha utamkosea Mungu Wala chann toa
Back
Top Bottom