Recent content by FUTURE HUNTER

  1. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri namna ya kukabiliana na wateja wezi kwenye duka la nguo

    Ni kweli mkuu na ni wamama.inaonyesha wako competent kuiba
  2. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri namna ya kukabiliana na wateja wezi kwenye duka la nguo

    Yaani kujaribu hapa ni kipengele kweli kweli na wengine ndio wanatumia mwanya huo kuiba
  3. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri namna ya kukabiliana na wateja wezi kwenye duka la nguo

    Shukrani Mkuu, nianze na hili mapema
  4. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri namna ya kukabiliana na wateja wezi kwenye duka la nguo

    Salaam kwenu wakuu. Naombeni wazoefu wa biashara za nguo mnipe mbinu za kudhibiti wateja wezi. Anakuja kama mteja anaangalia nguo na hata kujaribu na mwisho anaondoka. Ukija kuangalia baadhi ya nguo unakuta tayari hazipo. Na mara nyingi wanaingia ndani ya duka na kujifanya wanaangalia sample...
  5. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Naunga mabando ya Vodacom unlimited popote ulipo

    Kazi nzuri.naomba kuuliza kike cha 10Mbps 10 kwa 115,000 hakipo siku hizi. Currently natumia cha 60k 10mbs lakini ni taka taka aisee kina load balaa. Je hicho cha 70k uhakika?
  6. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Ukitumia Simu Hizi 7 Utatupa Hiyo Iphone, Pixel au Samsung Yako

    Na type na galaxy a56 5g hapa. Kila nikitaka chomoka samsung sichomoi.
  7. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 3-2 Yanga SC | Kombe la shirikisho CRDB Bank | CCM Kirumba | 21 Juni, 2026 | Azam FC watinga Fainali

    Kwa Yanga hii acha azam waende tu tupunguze fedheha. Huu msimu tumesimika rasmi nguzo ya kuteremka chini. Viongozi kama hawana plan b msimu ujao tutakuwa punching bag na tutapoteza kila kitu.
  8. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Photocopy mashines

    Usitoke nje ya hapa. Evelyn kamaliza.
  9. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania KERO Kulikoni Wanafunzi wa Sengerema College hawajapata Misimbo ya NACTE hadi sasa hivi? Tukiwapigia simu hazipatikani

    Kosa mlifanya mwanzoni pale kutoka st francis kuja sengerema. NACTVET wao ndio wenye uwezo wa ku approve uhamisho na sio chuo kukwambia njoo kwetu. Na mwanafunzi akisajiliwa kwenye mfumo anapata ujumbe hapo hapo. Fikeni ofisi za kanda NACTVET na vielelezo kwa msaada au la dirisha la mwezi wa...
  10. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania FT: Pamba SC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba

    Ubaya una laana nyie.unarudi ulipotokea
  11. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 3-0 JS Kabylie | CAF Champions League | New Amaan Complex | Feb 15, 2026

    Inatokea kwenye mpira. If you are man of the game
  12. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 3-0 JS Kabylie | CAF Champions League | New Amaan Complex | Feb 15, 2026

    Ni kweli kimsingi inakatisha tamaa na ukiangalia mazingira mechi ya al ahly na farabat point 4 zilikuwa zetu. Wachezaji wanazingua sana
  13. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Shukrani mkuu nime activate leo cha 60k. Naendelea na majaribio ya ku drill data nione uhimilivu wake.
  14. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 3-0 JS Kabylie | CAF Champions League | New Amaan Complex | Feb 15, 2026

    Tuchukue msimu huu kama funzo. Inauma sana kuona tunatoka mapema licha ya kuwa na timu nzuri. Kwangu sioni jipya twende tukakamilishe ratiba tu.
Back
Top Bottom