Ushauri: Rangi ya kupaka ndani ya nyumba

Ushauri: Rangi ya kupaka ndani ya nyumba

Salama wakuu.

Naombeni idea ya rangi nzuri ya kupaka ndani ya nyumba.

Nimejaribu kuperuzi rangi nyingi mbali mbali nimeshindwa kufika muafaka.

Ni rangi gani nzuri ikipakwa ndani panakaa murua.

Nategemea kutumia kampuni ya plascon.

Una furnitures gani na rangi ya sakafu ni ipii?

Maana watu wengi hupaka tu rangi bila kuzingatia kwamba rangi ya ukuta hutegemea uwepo wa vitu vingine...
 
Rangi zipo za aina nyingi, ila uzuri wa rangi inategemea na muhusika. Kwa ujumla rangi ambayo watu wengi wanapenda ni rang ya maji nyeupe kwa vyumbani, na rangi ya maziwa ya mafuta (blocken white) kwa sebuleni
 
Weka picha yake mkuu
off white
Screenshot_2026-01-25_143048.jpg
 
Simple tu
nunnua rangi mama tatu
nyekundu bluu na njano km ni za mafuta au za maji ni wewe tu

Anza kuzichanganya kwa ratio na kipimo sawa
Ukichanganya vizuri utapata rangi zoote duniani kasoro nyeupe

Chumbani kwangu nimepaka kijani nyekundu njano
Peace!
 
Una furnitures gani na rangi ya sakafu ni ipii?

Maana watu wengi hupaka tu rangi bila kuzingatia kwamba rangi ya ukuta hutegemea uwepo wa vitu vingine...
Furnitures za sitting room ni nyeusi. Floor ni greysh inayoenda kwenye weupe
 
Back
Top Bottom