Recent content by Futer jr

  1. Futer jr

    Habari njema kwa CHAPUTA

    Aisee mi ni mwanachama mstaafu ila naona hii tafiti inanishawish nitafakar uamuz wangu wa kujitoa
  2. Futer jr

    TV yenye king'amuzi ndani!

    Asa si urud dukani wakuelekeze upya Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Futer jr

    Deni la Diamond platnumz kwa Ali Kiba

    Ndo maana alikiba hajiongezi kwa sababu ya nyie mashabiki wake saiv atajiona yy ndo mungu:af saiz nimegundua bongo ukiwa na mafanikio unachukiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Futer jr

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    21january jaman mbona siwaoni Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Futer jr

    Furahi tu simu yako kufahamika na muda si mrefu wewe utajulikana...technology bwana!!!!

    Okkkk kumbe ndo iv Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
  6. Futer jr

    Tecno kama mmechoka kutengeneza simu imara mkalime matikiti

    Hahahahaha wachangiaji wengine mnavoponda tecno had mnanifurahisha utafikiri kwa mafundi simu simu za samsung huawei etc hazipo akat kila siku tunakutana kwa mafundi mi yangu tecni cx naseleleka nayo chaj 48hrs tecno its my choise
  7. Futer jr

    Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

    Sawa mwenzetu ndo unaujua mpira kuliko wanaopiga kura kuchagua mchezaj bora wa dunia
  8. Futer jr

    Yawezekana kuwepo urafiki usio wa kimahaba kati ya mwanaume na mwanamke?

    Tena sometime wanaweza kukwichkwich bila hata kutongozana
  9. Futer jr

    Ni kitu gani ulichowahi kuombwa na mpenzi wako hadi kikakufanya uwe mnyonge?

    Daa mi niliombwa nimsaidie kununua fenicha za ndani cost kama laki 8 iv ukicheki geto kwangu kitanda na godoro tu apo nlichoka
  10. Futer jr

    Toka niache masterbation na porno addiction nimekua mpya kabisa

    Iyo ni sahihi kabisa kwa tuliozoea punyeto tukikutana na k ya manzi inakuwa shida sana kumaliza daa ila kaz tunayo
  11. Futer jr

    Hivi kwanini watu hawaipendi CHADEMA?

    Lakin ukumbuke kuna watu hawaitaki kuisikia ccm pia
Back
Top Bottom