Habari njema kwa CHAPUTA

Habari njema kwa CHAPUTA

Aisee mi ni mwanachama mstaafu ila naona hii tafiti inanishawish nitafakar uamuz wangu wa kujitoa
 
Dear Chaputa.
Hunifilisi na wala hupendi hela
Love You
 
Sasa huyo dokta bange zinamvuruga at the same time watafitiwenzie wanasema chaputa wote wana matatizo ya sperm count sasa iweje wazalishe sana ? Mwambie arudie kusoma literature review wenzie
 
We jamaa inakuwaje nyuzi nyingi unakuwa wakwanza ku reply? Au hukosi 3 bora.
[emoji3] [emoji3] kweli kumbe na wewe umeona eeeh yaani huyu jamaa nahisi yuko mbali na serikali ya viwanda na kazi tu!
 
Back
Top Bottom