Recent content by Furuguti jr

  1. F

    Billy Graham alihubiri mkutano wa injili Moshi 1960

    Hakika alikuwa ni mtumishi wa Mungu wa mfano,Watumishi wa Mungu wa sasa wana jambo la kujifunza kutoka kwa Late Rev. Billy Graham
  2. F

    Masimulizi: Beyond Pain

    Jamani story yetu haiendelei tena
  3. F

    Viongozi wakuu CHADEMA kutikisa nchi leo na kesho

    Tumaini Makene mbona viongozi wa kitaifa hawaendi wilaya ya Ngara wananchi wanawasubiri kwa shauku kubwa mno,Ngara tuko tayari kwa mabadiliko Dr Slaa rais mtarajiwa anasubiriwa kwa hamu kubwa
  4. F

    ZITTO: Nilipofukuzwa nilitamani kujiunga NCCR Mageuzi

    Hii thread kwa Great thinkers naona watu wanaogopa kuchangia ni facts zinashushwa Ahsante The Boss ,mzee Tupa tupa nondo zenu ni too heavy Hizi facts ndo zinanifanya kujiona wa bahati kuwa member wa Jamii Forums
  5. F

    Picha kuonyesha operation TIGI TIGI

    Hongera Saana kamanda Alphonce Mawazo kwa kazi njema ya ukombozi wa pili, ni kweli Bukoba vijijini imesahaulika cjui Kamanda Rwakatare ina mikakati gani kama mwenyekiti wa Mkoa?
  6. F

    Werema, Tibaijuka, Muhongo Walisahau Ukweli Huu Muhimu; Wengine Waukumbuke...

    Ukweli mtupu kuwapata viongozi wanamna hiyo na wananchi kuelewa majukumu ya kiongozi wake na yeye kutambua majukumu yake,itaikomboa jamii yetu yote,sasa jamii inamuona kiongozi kama Mfadhili rejea kwa Mh. Mamvi misaada anayotoa makanisani na misikitini,simply anakuwa kiongozi bora.Hii...
  7. F

    Bodi ya uhasibu NBAA mnakera

    acha uvivu hayo ndo matokeo ya deadline, ungelipia mapema huo usumbufu usingekabiliana kiukweli nbaa wanajitahidi sana kucomply na standard zao walizojisetia karibu kwenye dunia ya weredi
  8. F

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    DR.Slaa atoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  9. F

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr.Slaa
  10. F

    Tigo wabuni wizi mpya!

    Hamia mitandao mingine,
  11. F

    Elezea furaha yako,siku CCM ikitoka madarakani

    Mamndenyi hatutaki kuondoa CCM ili CHADEMA itufanikishe maisha yetu binafsi hapana,tunataka kuiondoa CCM maana imeshindwa kuongoza Nchi nadhani hata wewe ni shahidi katika hili.Tunachokitaka ni serikali kutimiza majukumu yake kama kuboresha huduma za afya kwa maana hospital ziwe na madr na dawa...
  12. F

    Elezea furaha yako,siku CCM ikitoka madarakani

    , Mimi binafsi ntamshukuru Mungu,kushuhudia mabadiliko ambayo yanamchango wangu kwa jamii ilionizunguka kwa suala Zima la mabadiliko,nimetoa Elimu hii kwa ndugu,rafiki,majirani zangu kila mtu aliyekaribu ujumbe na elimu ya mabadiliko hilo ndo jukumu langu la msingi,so kiukweli mimi ni wakala...
Back
Top Bottom