Furuguti jr
Member
- Jul 2, 2012
- 43
- 14
Ushirombo kutoka hapo ulipo siyo chama kitakachokutoa;
Ni juhudi zako binafsi ndo zitakufanya ufanikiwe au ubaki hivyo hivyo huku ukilalama kwenye majukwaa ya kijamii.
Naamini nyie ndo wale mnaolala usingizi wa pono kungojea mzee wako roho iondoke ili ubakie unatamba na mirathi ikiwa ni pamoja na kuwarithi wake zake.
Amka kijana acha kulia lia.............. grrrrrrrrrrp.
Mamndenyi hatutaki kuondoa CCM ili CHADEMA itufanikishe maisha yetu binafsi hapana,tunataka kuiondoa CCM maana imeshindwa kuongoza Nchi nadhani hata wewe ni shahidi katika hili.Tunachokitaka ni serikali kutimiza majukumu yake kama kuboresha huduma za afya kwa maana hospital ziwe na madr na dawa za kutosha,Elimu yetu kila uchao ni afadhali ya jana,barabara zijengwe kwa viwango vinavyokubalika kimataifa, uwajibikaji kwa watumishi na viongozi wanaoenda kinyume na utumishi wa Umma unavyohitaji.Nadhani yako mengi sana.............
Hayo ndo tunayoyataka nakuyatarajia serikali ya CHADEMA iwafanyie watanzania kama mkiipa ridhaa Watanzania 2015