Recent content by Furahatuu

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kupata mtoto kabla ya ndoa siyo mwisho wa maisha

    Asante kwa mchango wa kututia moyo. Ni kweli kuzaa kabla ya ndoa sio umalaya bali mwanamke unakutana na mwanamme mnaanzisha mahusiano kumbe lengo ni ngono tuu baada ya kupata hitaji lake unaona mahusiano yamelega mwisho yanaisha. Japo kuna jamii inaamini mahusiano ambayo wawili walipata mtoto...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutengeneza fondant

    mmh kama wewe ni mwl wanafunzi watafeli wote maana naona mahitaji tuu kumwambia mtu asiyejua mashmallo atumie maji kulingana na wingi wa mashmallow atakuwa ameelewa nini.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Itangazwe Rasmi Clouds Fm ni Radio ya Taifa

    Eti kipindi cha safari ya dodoma hakina hata mvuto kweli ubunifu sifuri
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu wanatafuta kwako: Uwe mwangalifu kwenye mitandao

    Kweli kabisa mtoa mada mie huwa sikomenti najiuliza uhalisia uko wapi hizo ni picha za kipepo tukae mbali nazo
  5. F

    JamiiForums Tanzania Utunzaji wa nywele za asili

    nimenyoa nywele nataka kupaka mafuta ya nazi ile ntaondoaje harufu yake msaada plse
  6. F

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Rais Magufuli ungekua Movie ungeipa jina gani?

    Nchi ya kusadikika
  7. F

    JamiiForums Tanzania Special thread: Toa ya moyoni

    ..... Wa walala hoi. Duuu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wanaume hawa wa JF wananichefuaga sana!

    Mmmh wa chama chakavu lazima ana matatizo kwenye ubongo wake no no no no kwa chama chakavu
  9. F

    JamiiForums Tanzania Lema: Rais akiendelea kufikiri yeye ni Mungu basi Mungu atasitisha maisha yake kabla ya 2020

    Mmmh hizi sala nina wasiwasi hii kuombewa unaweza ombewa kinyume dah
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kipaumbele cha serikali yetu ni kipi?

    Hivi ile wizara iliyokuwa ihamie dom august ndo ikapokee wageni limeishia wapi maana hata kile kipindi kimekufa tbc
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kipaumbele cha serikali yetu ni kipi?

    Kuna watu walikuwa wana imani kwa mtu sasa wanavyosoma namba hadi unawaonea huruma.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    Kama ni kichaka sasa hivi ni cha michongona. Nawasikiliza na kuwaangalia walioshiriki dhambi maana nawajua. Sikutakaga ujinga wa kuja kulalamikia maamuzi yangu ya kutoka nyumbani.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Huu ni ushahidi Lema alichokwa Arusha siku nyingi, anashikiliwa na kundi dogo

    Akili za wa baadhi ya watz zinahitaji uhakiki maana wengine mavi wanayaita keki hata kama yananuka
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

    riba ya 19,000,000/= si chini ya 8,000,000 how 18% comes msaada hapo
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

    kitu kingine unaambiwa ribs ni 18% kila ukicalculate inakuja kama 76% hivi wanatumia formula gani tujuzane hapo wataalamu wa hayo mambo
Back
Top Bottom