Itangazwe Rasmi Clouds Fm ni Radio ya Taifa

Itangazwe Rasmi Clouds Fm ni Radio ya Taifa

Hao TBC si ndiyo waliwakomba waigizaji wa ze comedy toka kule kwingine, sasa waikombe crew nzima ya clouds kujiboresha
 
Media za marekani zilitoa habari nyingi kuhusu mtu kubadilisha jinsia yake kuliko issue ya akon kusaidia familia masikini zaidi ya elfu sita kuwasambazia umeme. Sasa clouds ni kama hawa wamarekani
 
Eti kipindi cha safari ya dodoma hakina hata mvuto kweli ubunifu sifuri
 
Back
Top Bottom