Waombaji wa kazi tuna shughuli pevu sana, Leo tar 8, Oct nimeenda mahakama kuhakikiwa nakala za vyeti vyangu lakin huko ni wiz mtupu, nikaambiwa nakala 1 ni buku 2 nilikua nazo 5 na jamaangu alikua nazo kama 10 ikatubidi tulipie hiyo pesa, kimasihala nikauliza hela hiyo niyanini, je tunalipia...