Mahakama zetu ni zaidi ya duka

Mahakama zetu ni zaidi ya duka

fungoezgar

Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
36
Reaction score
11
Waombaji wa kazi tuna shughuli pevu sana, Leo tar 8, Oct nimeenda mahakama kuhakikiwa nakala za vyeti vyangu lakin huko ni wiz mtupu, nikaambiwa nakala 1 ni buku 2 nilikua nazo 5 na jamaangu alikua nazo kama 10 ikatubidi tulipie hiyo pesa, kimasihala nikauliza hela hiyo niyanini, je tunalipia uchakavu wa mihuri? nikajibiwa tunalipia cheo cha hakimu na wino/ink, nikataka kuulizia kama nitapata risiti lkn nikaacha coz niliona amenichukia kufuatia swali langu la awali. Lkn kukaa kwangu hapo kwa muda usiozidi dak 10 lile DUka/Mahakama lilikua linamake enough money. Ila ikaniuma sana coz sion mantiki ya kuhonga nami ninavyeti halisi vya elimu yangu. Kisha kama mtu anakaa miaka zaidi ya mi3 akiwa anaomba kazi mbona atakufa kwakuneemesha walioko kwenye uskani! Should we pray for them??????
 
wamekupiga bei ndogo sana, ilitakiwa kila cheti iwe buku ten, shukuru Mungu kwa walivyokufanyia.
 
ndo hvo mdau kwani ulikuwa hujui mishahara midogo ndiyo maana wanafanya hvo ili anaporudi nyumabani abebe kidogo mboga za majani na matunda
 
tena umelipishwa hela ndogo sana kwa wakili according to Public Oath ni kuanzia 20000
 
Unalalamika nini kwa taarifa yako aliyekugongea amekosea. Kuna sheria mpya imeanza kutumika mwezi huu mwanzoni kugonga mhur doc ya aina yoyote minimum ni 20000/= wanasheria mnashauriwa kuwa update tafadhali mambo ya elf 5 ama elf kumi hayapo kabsa kwa sasa.
 
ungeniambia mapema kuna makanjanja kkoo wapo wengi wana mihuri na hawana vyeti document buku 5 ya chai unasema wanatumia mihuri ya uridhi,
kama kuna docta feck, traffic, usalama, nk why not muhuri
 
Kwanini ulienda kuhakiki? Kama ni kwa maombi ya PSRS watu wanaitwa kwenye usaili bila kuhakiki.
 
Nenda kwenye mahakama za serikali Bei chee

Hakuna unafuu wowote.nilishaenda kuhakiki vyeti vyangu mahakama ya wilaya(karatu) na nikaonana na mahakimu wawili tofauti na kila mmoja aliniambia gharama ni 10,000 kwa kila nakala hivo nilipaswa kulipia 40,000 kwa nakala 4....Tulipofika ni pabaya mno...hata kama ni nchi ya kitu kidogo ila hii imezidi na inatuumiza na kuturudisha nyuma sisi wanyonge
 
sio kitu kidogoo mkuu, hiyo ada ni halali kabisa kwa mujibu wa sheria ya Tanzania tena sasa hivi sheria mpya imeongeza now 20
 
Waombaji wa kazi tuna shughuli pevu sana, Leo tar 8, Oct nimeenda mahakama kuhakikiwa nakala za vyeti vyangu lakin huko ni wiz mtupu, nikaambiwa nakala 1 ni buku 2 nilikua nazo 5 na jamaangu alikua nazo kama 10 ikatubidi tulipie hiyo pesa, kimasihala nikauliza hela hiyo niyanini, je tunalipia uchakavu wa mihuri? nikajibiwa tunalipia cheo cha hakimu na wino/ink, nikataka kuulizia kama nitapata risiti lkn nikaacha coz niliona amenichukia kufuatia swali langu la awali. Lkn kukaa kwangu hapo kwa muda usiozidi dak 10 lile DUka/Mahakama lilikua linamake enough money. Ila ikaniuma sana coz sion mantiki ya kuhonga nami ninavyeti halisi vya elimu yangu. Kisha kama mtu anakaa miaka zaidi ya mi3 akiwa anaomba kazi mbona atakufa kwakuneemesha walioko kwenye uskani! Should we pray for them??????

Nyerere alisema watabinasisha mapaka Magereza, huo ni mwanzo tu!
Mkuu mbona wamekuchaji pesa ndogo sehemu zingine ni 15,000ts

Ila hiyo taasisi nayo ni makangaja!
Wanashindwa nini wao wenyewe kujiridhisha kuwa nakala unatakayowasilisha ni yenyewe,kwa kuhakikisha unaendana Nakala halisi pamoja na photokopi yake na wao kuhakiki kama ni kweli ni yenyewe ?

Na wewe siku nyingine uache ushamba

si lazima kucertify vyeti

kwa style hyo utapoteza hela daily

watu hawacertify na wanaitwa

we endelea kuwa mwoga

bila shaka ni mgen ktk labor market

pole sana

nxt tym usirudie kwenda

omba kwa kutuma kopi bila certification
 
Back
Top Bottom