wadau km mnakumbuka 2weeks ago nliomba kujuzwa jinsi American embassy wanavyosaili , shaidi wangu akiwa ni mungu nlipata wadau 2 ambao walinitoa tongotongo kwa ushauri na format nzima ya usaili , ilikua msaada mkubwa san kwangu na nikajiandaa vema , mrejesho ni kwamba mm ni mmoja kati ya idadi nisiyoijua ya watu tulioitwa kwa second interview this week baada a mchujo wa kipepa cha ki-english , narudi tena nyumbani niitaji chochote kutoka kwenu, wakubwa kwa wadogo tupieni mjuacho hapa nami ctosita kuwashukuru na kuwaombea baraka, km una nyeti zaidi ni pm tafadhali
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote mtakaosaoma post hii ,
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote mtakaosaoma post hii ,