Fugitive
Member
- Sep 5, 2014
- 16
- 3
Habar zenu wadau wenye nia tanza, jaman mwenzenu nahitaj kujua juu ya habari za kazi za 70 volunteers zilizokuw zmetangazwa na GIO mwez june 2014 na mwsho wa kutuma maombi ilikuw tareh 31 july 2014.......na tareh 9 mwez wa 8 nilitumiwa email ya kunitaarifu kuwa nimefanikiwa kuchaguliwa na kuwa miongon mwa short listed candidates na katka email hyo walinitaka nitume kiasi cha Tsh 50000 kwa njia ya M-pesa kwa ajili ya matumiz fulan ambayo waliyaorodhesha kuhusiana na training ambayo ilitakiwa ianze leo tareh 6 /09/2914 na niliahidiwa kutumiwa email nyngne tareh 25 /8/2014 ambayo ingenijuza juu ya ratiba na eneo ambalo training hyo ingefanyika , sasa cha kushangaza cjapata tena email yao tangu ile ya kwanza na wala hawapatkan katka namba zao za cmu ambazo walikuw wakipatkana na tareh ndo hyo imekwsha fka mpaka leo cjui kinaendelea nini naomba mnipe jibu wadau au ndo mambo ya bongoo!