ndo hivyo bhanaa!
Wakuu, naomba mnishauri, niko Pwani, nili apply access bank na nimeitwa kwenye usahili ambao unachukua siku 6 hadi 10, Mbeya.
Na kama mjuavyo gharama ziko juu.
Je nijaribu kwenda, au nisubiri next opportunity?
wakuu mimi nimeitwa hiyo interiwew, kiukweli sina kazi ila nitashindwa kwenda,yan nauli yenyewe kutoka hapa dar sina, kweli kisicho rizki hakiliki
Mkuu kwanza washukuru maana walikusaidia........wewe utakuwa ulitaka nafasi ya cashier alafu unaonekana kibaka wakakusaidia kukupa nafasi nyingine.....nadhani ulipaswa kushukuruwana dharau na mishahara yao ya ajabu ajabu!mi walinipa kazi ambayo sikuiomba wakati nilifaulu ma interview yao yote,nikawachana live sihitaji hiyo nafasi kwani sikuomba hiyo kwani niliitwa interview kwa kazi ambayo ndio niliomba!! sasa kwa nini wanibadilishie!wana dharau sana!
nenda ni sehemu ya kupata uzoefu wa usaili coz wanatabia ya kuita watu lukuki .
Inaanza tar ngap?
Hongera Ngonyani kwa kuitwa.
Kama unasehem ya kushukia namaanisha ndugu au rafiki ,na pesa ipo nenda.
Ila kama haipo. iyo gharama ni bora uweke uweni mtaji ufunguepo hata genge uuze.
Pia kama ukibahatika kwenda ni vizuri unapata experience ya interview. na kubadilisha mazingira mapya.
Jiandae kwa general question tu.
naomba uni pm kwa hii 0753 350789 incase ukiona jina la theodory edmund ngonyani
hivi hawa access inakuwaje mbona kama cwasomi?coz wali taka tu email only cv na hadi sasa na kuwa attention kama nitaitwa lakini kimya au bado wanaendelea kuita au ndo tushawekwa pending please naomba kujua juu ya hili
hivi hawa access inakuwaje mbona kama cwasomi?coz wali taka tu email only cv na hadi sasa na kuwa attention kama nitaitwa lakini kimya au bado wanaendelea kuita au ndo tushawekwa pending please naomba kujua juu ya hili ( tuko wengi)