Recent content by Fundikiller

  1. Fundikiller

    JamiiForums Tanzania Mungu mkubwa: Nimeokota nyumba Mbweni

    Na kama mwenye nyumba alikuwa muuza madawa ama anafanya vitu haramu na akakamatwa na yupo jela ama la.siku akitoka tu anakuja kwenge Nyumba yake
  2. Fundikiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

    Kifupi mwanaume aliye kwenye ndoa kucheat nje kunatokana na haya Mambo: 1. Mwaka wa kwanza wa ndoa,mapenzi yanakuwa mazuri Sana,mnapeana Kila dakika ama Kila siku ama Kila wiki.ila baada ya kuzaa tu watoto,mwanamke uliyemuoa anaanza kukuwekea Sheria kukupa tendon na inatokea mnakaa hata miezi...
  3. Fundikiller

    JamiiForums Tanzania Kwanini TRA wasitengeneze Software au Application itakayofanya kazi ya EFD Machines?

    Mifumo yote ya serikali duniani huwa haiwi controlled na simple application za Android or whatever.remember wanadeal na pesa(mapato ya nchi).Kuna hackers wengi Sana they can do whatever they want.security iko kubwa Sana kwenye hardware compared na software.remember that.
  4. Fundikiller

    JamiiForums Tanzania Kwanini TRA wasitengeneze Software au Application itakayofanya kazi ya EFD Machines?

    Kama biashara yako haiingizi 14mil kwa mwaka Haina haja ya kuwa na machine.kuna vile vitambulisho.and kabla hujaamua kuwa na machine ya TRA lazima ukafanye makadirio TRA na pale ww mwenyewe ndo unasema biashara yako unaweza ingiza kiasi gani kwa mwaka.
  5. Fundikiller

    JamiiForums Tanzania Gwajima sio wa kupuuzwa, ushauri wake kuhusu Corona umenitetemesha leo

    deal done ..... Maneno yalisikika sehemu yakitamkwa kwenye kikao kimoja cha siri yakisema " Human extiction is easy if we consider b canioweapon which alters hypoxic respiratory failure" Wakimanisha kukiteketeza kizazi cha mwanadamu ni rahisi kama tutacontrol uwezo wa kuzuia kupumua. Kumekuwa...
  6. Fundikiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukijiona mvivu wa kutoa papuchi yako tafadhari sana usitake ndoa

    Ni shida sana hawa ndugu zetu.ndo maana mechi za ugenini haziishi
  7. Fundikiller

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    ALIAS ya zamani kidogo but bonge la series. A young woman learns she has a familial history of undercover work and agrees to become an international spy for a supposed secret branch of the CIA. The secrecy complicates her social and love lives, but it's nothing compared to what happens when...
  8. Fundikiller

    JamiiForums Tanzania Kutapisha Vyoo kwenye mtaro wa public maeneo mabibo hostel pepsi

    Shida sana alafu kesho kutwa tu wanataka watu wawapigie kura
  9. Fundikiller

    JamiiForums Tanzania Kutapisha Vyoo kwenye mtaro wa public maeneo mabibo hostel pepsi

    Kiukweli inakera sana na sijui viongozi wa serikali ya mtaa wanalionaje hili.kila mvua ikinyeesha tu kidogo wadau wa huu mtaa hutapisha vyoo vyao na hii hupelekea harufu kali sana kupenya kwenye kwenye miji ya watu.inakera sana..
  10. Fundikiller

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Nakiete hawana hizo dawa?je unaweza ukawa unajua jina la hiyo dawa inayoimarisha mifupa? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Fundikiller

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji motherboard ya SAMSUNG GALAXY J2.Mwenye nayo,naomba tutafutane inbox Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Fundikiller

    JamiiForums Tanzania Alama iliyopo mkono wa kulia ni ya nini?

    Nimezikuta ziko tatu kama pembetatu kwenye mkono wangu wa kulia.sasa na huu ni utambulisho gani?
  13. Fundikiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenye magari huwa wanafaidi sana mahaba kutoka kwa wanawake zao

    Sio Vitz tu hata Lory la kubeba matikiti ataliwa tu[emoji12]
Back
Top Bottom