Recent content by fundiaminy

  1. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania Kama una hamu ya kutukanwa :

    waswahili.
  2. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania Mwenyenyumba!!

    alipokufa kikweli akaenda mbinguni.
  3. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania Akili kumkichwa

    ilinitokea hio ila nilirudi fastafasta na ku-edit post.hakuna binadam alie kamili wakuu.copy paste ipo tu kwa sana.mueleweni na muelimisheni.guday.
  4. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania L.o.l

    Kibaki, JK and Mugabe got lost in the forest and were captured by cannibals. The cannibal king told them they could live if they pass a test. The first step of the test was to go to the forest and get ten pieces of the same kind of fruit. So all three presidents went separate ways to...
  5. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania Majib mapyaa ya methaly za kiswahl kwa year 2012

    hii naizingatia.haha.
  6. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania Mmasai mahakamani

    masai: hivi uko jela iko masiwa? Hakimu: mara tatu kwa wiki. Masai: na nyama? Hakimu: kila siku. Masai:funga mimi maisha
  7. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania Mnyama simba ni noma!

    dah.huwa lazima uheshimu natural laws of attraction.
  8. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania Dokta wa meno

    acha chuki binafsi wee wa kusoma ama ni wa kusomeshwa sijui.kwani the excellent aliku**mbea demu wako ama? Jaza jf na post zako za pc ya yako ya udongo bas tuone.mwehu wewe.ha ha ha.
  9. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania Mnyama simba ni noma!

    Hapo ni pale mtu huruka ukuta wa futi kumi wakati wa hatari keshoye akiambiwa arudie kuruka hawez.ha ha.
  10. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania Wakusoma

    kwanini asiombe msamaha hapahapa? Ama kwa vile amepewa ushauri wa pembeni aanzishe thread ya kuomba msamaha? Mleteni hapa.ha ha ha.
  11. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania kula bata!

    hahaha.jaguar halaf m2 ndo anaita hio valid statement.ama ndio anaiita valid statement.usimlaumu lakini.msimu unaruhusu.
  12. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania Fanya test nikupe marks.

    swali la tano pale mlinzi anapoamkia gafla nageuka na kujidai kua narudi tz nlipotoka.bila shaka ataniambia huruhusiwi kuingia tz kwaivyo rudi kenya kumbe mie tayari nlikua natoka tz and vice versa iwapo nimetokea kenya.lete marks wewe mtu.ha ha ha.
  13. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania Why Students Fails

    safi sana mkuu.na watu hapa wana ugumu wa kuelewa.hata kama post imekuwa repeated haimaanishi kila m2 JF anaijua.tuwe wapole jamaa.
  14. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania Tension!

    Uko nje ya nyumba yako na rafiki zako huku unacheza na mtoto wako mchanga ukiwa umejifunga taulo ghafla unapomrusha juu hewani taulo inaanguka! T.E.N.S.I.O.N Umepanga kwenda kujua wazazi wa dem wako na ukiwa safarini mzee anatema mate ya tumbaku ndani ya gari na unamtusi vilivyo kufika kwa...
  15. fundiaminy

    JamiiForums Tanzania Fill in the blanks.

    Nimekuna kichwa.
Back
Top Bottom