Kama una hamu ya kutukanwa :

Kama una hamu ya kutukanwa :

Na kwa wale waliokwisha kufanya kazi kwenye mahotel watakubaliana nami wafanyakazi wa jikoni wana matusi ya kufa mtu, yaani kila kifaa na chakula kina nick name la tusi

Tehe tehe tehe ! Sipati picha bakuri linaitwaje.
 
Wafanyakazi wote wanaofanya kazi ngumu.

eeebwana usiombee ukutanene na wabeba zege wale jamaa ni balaaa kwa matusi, wakifwatiwa na mafundi wao wa ujenzi yaani ukiwa site siku ya kumimi zege unaweza kufikiri hao jamaa wamelaaaniwa au wakati wanatoka site wakiwa wamebebwa kwenye malori ya mchanga yaani njia nzima wanatuka watu yale kwao sio matusi ni namna yao ya kuongea.

sasa mmoja wao akifika nyumbani watu wameokoka anajisahau kila saa inabidi atoke nje atukane mwenyewe ndio arudi ndani kila akikaa tusi likija anatoka nje anatuka halafu anarudi ndani ujue akitoka nje anaongea matusi mwenyewe. katika utafiti niliokuwa nafanya nikajaribu kumfwatilia huyu bwana siku kila mara akitoka nje anaenda nyuma ya nyumba unasiki .... ya mama yako. ....... ya punda ........... ..... ya kichehhe ............. mara saburi lako la kulia mara saburi lako la kushoto ....................... mara k ya k yaani nikianza kuandika mar=tusi yake hapa sitayamaliza . na baada ya hapo nikakuta watu wanaokaa maeneo ya stand na sokoni hawa watu huwa hakuna mtu mzima hata mmoja katika maeneo yao yaani vibibi na vibabu lwao moja. ebna walevi ndio kuanzia mtengenezaji wa pombe mpaka mywaji naona saa jamaa wanatengeneza pombe yale matusi yao yanaingia kwenye pombe hivyo mtu akinywa akilewa yanaanza kutoka yenyewe.
 
Wasaidizi wa madakitari au kwa jina lao rasmi ma-nesi
ebwana wakunga nilishuhudia wakimwambia mama moja wewe tulikuomba ukapanue miguu huko si ulipanua kwa starahe zako sasa nini unakuja kutulilia sisi hapa.

haya siku nyingine mwananyamala hosp live hilo tusi nikiliandika hapa hakuana ambaye hataacha kunilalamikia. tena ukute yule mkunga hambaye pia ni tasa maana wengi wao huwa hawazai si wanaohgopaga kwa jinsi wanavyowaona wenzao wakiteseka wakati wa kujifungua lakini wengi wao nasikia hawanaga uwezo wa kuzaa
 
Vinara wa matusi ni wanaapollo wenzangu wa mererani

eheee arifu nyie ni ma k. siku moja kulikuwa na ibida pale mererani mwanaapolo alikuwa nafunga ndoa mchungaji akamuuliza mwanaapolo unampenda x na unamkubali awe mwenzi wa katika shida na raha upende na mtunza? mwanaapolo akajibu nampenda ki k
yaani mwaumini wakaangua kicheko mara mchungaji akawaambia acheni basi mambo ya k k kwenye ibada
 
Tehe tehe tehe ! Sipati picha bakuri linaitwaje.

"Nilifaulu PCB,lakini kwa kutambua ubovu wa MEDICINE mzazi wangu akanisomesha ACCOUNTS. Sasa sijui mnalalamika nini! Mlichagua wenyewe."

keli maana kama ungendelea na PCB sasahivi ungekuwa PCCB
 
wazee wabandari mpooo! Wauzamkaa jee? Wazee wavijiwe vyote, kuanzia tax, garage, dalali na wote wenye shughuli za kukaa vijiweni.
 
Nakumbuaka enzi hizo tupo wadogowadogo, jamaa wanapita na malori ya mchanga ama ya mkaa wamechafukaaa. waaambie maji yamekatikaa uone balaa lake!
 
eeebwana usiombee ukutanene na wabeba zege wale jamaa ni balaaa kwa matusi, wakifwatiwa na mafundi wao wa ujenzi yaani ukiwa site siku ya kumimi zege unaweza kufikiri hao jamaa wamelaaaniwa au wakati wanatoka site wakiwa wamebebwa kwenye malori ya mchanga yaani njia nzima wanatuka watu yale kwao sio matusi ni namna yao ya kuongea.

sasa mmoja wao akifika nyumbani watu wameokoka anajisahau kila saa inabidi atoke nje atukane mwenyewe ndio arudi ndani kila akikaa tusi likija anatoka nje anatuka halafu anarudi ndani ujue akitoka nje anaongea matusi mwenyewe. katika utafiti niliokuwa nafanya nikajaribu kumfwatilia huyu bwana siku kila mara akitoka nje anaenda nyuma ya nyumba unasiki .... ya mama yako. ....... ya punda ........... ..... ya kichehhe ............. mara saburi lako la kulia mara saburi lako la kushoto ....................... mara k ya k yaani nikianza kuandika mar=tusi yake hapa sitayamaliza . na baada ya hapo nikakuta watu wanaokaa maeneo ya stand na sokoni hawa watu huwa hakuna mtu mzima hata mmoja katika maeneo yao yaani vibibi na vibabu lwao moja. ebna walevi ndio kuanzia mtengenezaji wa pombe mpaka mywaji naona saa jamaa wanatengeneza pombe yale matusi yao yanaingia kwenye pombe hivyo mtu akinywa akilewa yanaanza kutoka yenyewe.

TEHE TEHE TEHE !
Nimecheka sana,hasa kuhusu huyo mbeba zega.
 
"Nilifaulu PCB,lakini kwa kutambua ubovu wa MEDICINE mzazi wangu akanisomesha ACCOUNTS. Sasa sijui mnalalamika nini! Mlichagua wenyewe."

keli maana kama ungendelea na PCB sasahivi ungekuwa PCCB

LOL ! :A S-coffee:
 
Back
Top Bottom