Dokta wa meno

yaani wewe una wivu usioelezeka.... kwani kuna masharti ya kutuma idadi ya thread humu?
hivi jf ni ya baba yako? sipati picha kama ungekuwa mshika dau wa jf.moderators wakae kimya...
wewe ngedere mdomo juu kama kuku anakunywa maji.... jitahidi na wwe kuweka post nyingi
ni free of charge.... anyway kupost humu pia ni kipaji. halafu hayo ya pc,bb za kuazima
yanatoka wapi? mbona siku hizi pc ni jambo la kawaida na isitoshe mtandao siku hizi
mpaka kwenye simu unapata. sio kitu kipya ama cha pekee kuwa ndani ya mtandao
siku hizi. kitu cha pekee kwa sasa ambacho jamii inapinga ni posho za akina bi kiroboto

Kwa hili hata mimi siungi mkono afanyacho Wakusoma
 
Unaandika post nyingiiiiiiiiiiiiiiiii, unataka Jf yote ujaze upupu wewe? Tatizo la kutumia PC au BB za kuazima hilo. NIKO HAPA KUTOA ELIMU MPAKA KIELEWEKE, JF SIO KICHAKA CHA WAHUNI.

acha chuki binafsi wee wa kusoma ama ni wa kusomeshwa sijui.kwani the excellent aliku**mbea demu wako ama? Jaza jf na post zako za pc ya yako ya udongo bas tuone.mwehu wewe.ha ha ha.
 
Unaandika post nyingiiiiiiiiiiiiiiiii, unataka Jf yote ujaze upupu wewe? Tatizo la kutumia PC au BB za kuazima hilo. NIKO HAPA KUTOA ELIMU MPAKA KIELEWEKE, JF SIO KICHAKA CHA WAHUNI.

me nlijua wa2 wanakucngzia kumbe n kwel. Chuk haijeng, yanini kumkandia mwenzako wakat kla m2 anae uhuru wa kushare kile alichonacho? ? Dats y kunae neno 'jamii'
plz ka haufaglii show we POTEZEA!
 
Back
Top Bottom