Mwenyenyumba!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyenyumba!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by saleh sule, Jan 23, 2012.

 1. s

  saleh sule Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa mmoja mweny nyumb alikua alala chumban kwake hana hata kitanda mara akaja mtu anataka anatak chumb akampisha chumban kwake mara akalala seblen mara tena akaja mtu yuko tayar kulala seblen jamaa akampisha akaenda juu ya dali !!
   
 2. b

  bigambo Senior Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sijakuelewa mkuu
   
 3. s

  saleh sule Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utanielewa 2 usijal
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  ..............akaja mwingine jamaa akampisha dali akapanda juu ya bati akaota anaanguka akaanguka akafa............
   
 5. Rosweeter

  Rosweeter JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 1,136
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Aisee......!
   
 6. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Alipokufa akakurupuka na kudondoka, kumbe alikuwa anaota...
   
 7. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Nina wasiwasi!
   
 8. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  hili ni funzo jinsi ya kutumia ID zako nne kwa wakati mmoj.big up.
   
 9. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  baadae akashikwa na homa ghafla akafa kikweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  alipokufa kikweli akaenda mbinguni.
   
 11. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa...
  Bishop sio mzima...huhuhuuuuuuuuuuuuuu!!!
   
 12. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Alipo fika mbinguni akacharazwa sana viboko kwamba siku nyingine asilete utani na Mungu...
  Akadondoshewa TZ kama Malaria SUGU!!!
   
 13. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Lazima uwe na wasiwasi na akili yako kwa kuwa hata huelewi
  umeingia Jukwaa lipi! Huu ni utani, na kila mtu ana mtazamo
  wake katika kuwasilisha au kuunogesha utani, siwezi kufikiri
  unavyofikiri...
   
 14. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,128
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  badae akafufuka akakuta kodi imeisha
   
 15. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Utoto, Ngoja nirejea ktk jukwaa la wakubwa lol.
   
 16. piper

  piper JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Makubwa!!!!!!!!!!!, so ikawaje?
   
 17. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  Mwishowe akawa mwehu akichekacheka ovyo mitaani kama mimi!...
  gi ef ni zaidi ya noma .
   
 18. Hatujuwani

  Hatujuwani Member

  #18
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  These are stories of a child, we are adults now beg all those with oral as these hold special blog just for their own, others here have labor costs of electricity, our country is run locally arbitrary, our leaders do not have this or that, food prices increased substantially, many poor Tanzanians, steal our resources, long queues for those who live in dar, rising living costs such as transport, fuel, rent, etc. So my advice is that we should not take JF is part of the story of a child and not surprised the one who brought this matter is an adult and has a family of wife and children. There are many things which make for progress in the nation, we must will consider and not these in the ceiling. Have a positive attitude(I am sorry if offensive)@SALEH SULE
   
 19. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  STRESS ni tatizo kubwa kwa baadhi ya watanzania:

  Dalili zake ni pamoja na:

  1. Kula sana au kukosa hamu ya kula.
  2. Kuwa mkali sana au mpole sana bila sababu.
  3. Kulalamika lalamika ovyo.
  4. Kumuona kila mtu anachangia uwepo wa shida zako.
  5. Kuhudhuria kituo cha tiba mara kwa mara bila kuwa na ugonjwa rasmi. Ukiambiwa vipimo vinasema huna tatizo,hukawii kuhamia kwa waganga wa kienyeji ama kituo kingine.

  MADHARA MAKUBWA NI PAMOJA NA:
  1. Kujiua.
  2. Kuota mvi mapema.
  3. Kujiona wewe NI BORA NA UNAJUA ZAIDI KULIKO WENGINE.
   
 20. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Ngoja nicheke kwa kidhungu. Uwiii uwiii huwiiii.
   
Loading...