Recent content by Fundi el makro

  1. F

    JamiiForums Tanzania English course British council

    hahahhhh mzee yule ni noumer anayo masters ya science in accounting and finance. hahahhhh muco
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wapi kwa Tanzania wanalipwa mishahara mirefu?

    bungeni na ikulu.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    wako alikuwa wangu nikamla kilaini ni mtamu
  4. F

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo wanatumia milioni 3.6 kwa ziara moja, CHADEMA mnatumia kiasi gani?

    uzalendo wa ACT ni kiini macho!
  5. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kuachia mzigo usiku

    mnaotafutiwa kazi mnayo mbwembwe kweli.
  6. F

    JamiiForums Tanzania CISA certification

    mzee wa ndonga; shukrani sana ume elaborate vya kutosha na umetembea kwenye maswali yangu niliyouliza (thank you a lot for let me know in details!!) swali lingine. Do they provide any kind of exemptions?? thank you.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nafuatiliwa na CCM kila kona

    acha dharau ww . wewe unafuga nini?? hata kuku huna. umelifanyia nini taifa lako katika nyanja zote siasa, uchumi, tamaduni na hata kijamii?? kwanza sikufahamu na nahisi hata familia yako haikufahamu vizuri, dharau haijengi, dharau si mtaji, dharau si kipaji ila ni tabia na hulka yako. tangaza...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Zitto: Lowassa akikatwa jina CCM, atangaze mali zake ajiunge ACT-Wazalendo (audio)

    hahaha ipo simpo sana na ukitaja mali na jinsi ulivyo zipata wala hamna hatua za uchunguzi zitakazochuliwa kuthibitisha uhalali wa vyazo vya mali zako. huu usanii hamna lolote. wanaingia na gia ya unyerere. uzalendo.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Zitto: Lowassa akikatwa jina CCM, atangaze mali zake ajiunge ACT-Wazalendo (audio)

    Siasa bana, raha sana! Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema iwapo Waziri Mkuu wa Zamani, EL Anataka kugombea uraisi kupitia chama hicho afuate taratibu za chama ikiwamo kutangaza mali zake. Akiwahutubia mamia ya wakazi wa jiji la mwanza kwenye viwanja vya Furahisha juzi, ZK...
  10. F

    JamiiForums Tanzania CISA certification

    mzee wa ndonga Mkuu naomba kujua pass mark zao ni kuanzia ngapi? na ukifeli unapata chance ya kufanya mara ngapi??
  11. F

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabunge wa CCM wanaopaswa kurudi Bungeni kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu

    prof. Muongo. prof. Tibaijuka. prof. Majembe. kilango.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Biashara Leo: Tumia kigezo hiki katika kupanga bei Ili uweze kufanikiwa

    Sethshalom naona lecture za CPA
  13. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uandishi wa barua ya kazi na CV

    barua iliyomwezesha kupata kazi??? this is miracle kwa kweli! kutokupata kazi usikimbilie kujaji barua yako. jiamini.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa Atoa Madai Mapya Ya Kuongezwa Mshahara - CHADEMA

    hoja yako ya msingi ni ipi?? kiazi ww, weka na wa kinana kenge wewe. weka source ya hii taarifa, ama source ni brain yako.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kozi nzuri kwa kuajiriwa na kujiajiri

    Course yoyote unayosoma chuoni ukiitumia vyema na akili ya kujiongeza itakusaidia kujiajiri mwenyewe katika kada uliyosomea na hata sio lazima kada uliyosomea. Mfano, Wapo wengi wamesoma accounting lakini ni wamiliki wakubwa wa phamarcy ambayo unadhani mfamasia ndo angewekeza ktk hii kada...
Back
Top Bottom