Lowassa: Nafuatiliwa na CCM kila kona

Lowassa: Nafuatiliwa na CCM kila kona

kinachotakiwa kufanywa na ccm ni kukaa na huyu bwana, waongee naye kwamba endapo chama hakitamchagua kupeperusha bendera ya CCM kwenye urais, basi atulie na asifanye jitihada zozote kukijeruhi chama.
.
Hii ndiyo njia pekee waliyonayo - vinginevyo ni kweli CCM wana hali ngumu - jamaa kawaweka njia panda.

Kuitisha kikao ni rahisi sana, lakini nani atamfunga paka kengele ndani ya kikao hicho?
 
CCM itakuwepo daima ila viongozi watabadiliko from time to time, namkubali sana lowassa lakini si kwa mtizamo unaojaribu kuuweka hapa. there is no conflict kati ya chama na lowassa acha ndoto za alinacha
 
sioni kama kutakuwa na jipya kutoka kwa lowassa kwani ni walewale kasoro majina. kikubwa hapa wote wakae pembeni wapishe damu mpya. kujaribu ndio maendeleo.
 
CCM itakuwepo daima ila viongozi watabadiliko from time to time, namkubali sana lowassa lakini si kwa mtizamo unaojaribu kuuweka hapa. there is no conflict kati ya chama na lowassa acha ndoto za alinacha
mawazo yako ni mgando hayajui jinsi maendeleo yanavyopatikana
 
mawazo yako ni mgando hayajui jinsi maendeleo yanavyopatikana

kama kusema ccm itakuwepo daima ni mawazo mgando basi endelea na ndoto zako za mchana. ila tofautisha kati ya uwepo wa chama na chama kushika hatamu. hata ikishindwa uchaguzi one time it will continue to exist and run for re-election again
 
Umekuwa ukijuuliza we na nani

Na wewe nani? acha ushabiki katika mambo ya msingi, toa hoja baada ya kufikiri kwanza, siyo Lowassa wala nchemba watakaoitoa Tanzania hii hapa ilipo, kwani walikuwepo, wamekuwepo na sasa wapo humohumo ccm, hakuna kinachoonekana jamani muambiweje ndiyo muelewe, Mtakuja lia kilio hikihiki tena tunacholia leo, watanzania angalia kwana hata katiba waliotunga imejaa wizi mtupu.
 
CCM itakuwepo daima ila viongozi watabadiliko from time to time, namkubali sana lowassa lakini si kwa mtizamo unaojaribu kuuweka hapa. there is no conflict kati ya chama na lowassa acha ndoto za alinacha
ni vizuri pia kuishi bila ya kufanya vipimo mwilini kwani kwa kufanya hivyo unajiaminisha kwamba huna magonjwa hatarishi.
 
Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 alianza kampeni za kuutaka urais ni nini sasa kinamfanya mpaka anunue watu wamshawishi kugombea? Mwaka 1995 alichukua fomu na kukodi ndege yeye na rafiki yake JK kurudisha fomu Dodoma ikiwa imebaki siku moja kabla ya muda wa kurudisha fomu kwisha, wakati huo ni nani aliyemshawishi agombee? Si alijichunguza akajiona anafaa ? Ni nini kinamfanya sasa akose kujiamini hadi atumie ushawishi wa makundi? Sasa hivi anajishtukia ili asionekane anautaka urais kwa udi na uvumba, huyu Bwana Edo ana uchu wa madaraka uliopitiliza. Ana ajenda gani kwa watanzania ku-justify utumishi wake hapo atakapokuwa rais? mwogopeni kama kansa, hatufai kuwa kiongozi wetu. Aende akafuge ng'ombe Monduli.
 
Huyu mzee apumzike tu. Kishatumikia Serikali kwa zaidi ya miaka 35 inatosha sasa akacheze na wajukuu zake Monduli.
 
kufuatiliwa sio tatizo,ishu unakubalika na watanzania wote....popote kambi,ushindi lazima TEAM lowassa
 
Last edited by a moderator:
Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 alianza kampeni za kuutaka urais ni nini sasa kinamfanya mpaka anunue watu wamshawishi kugombea? Mwaka 1995 alichukua fomu na kukodi ndege yeye na rafiki yake JK kurudisha fomu Dodoma ikiwa imebaki siku moja kabla ya muda wa kurudisha fomu kwisha, wakati huo ni nani aliyemshawishi agombee? Si alijichunguza akajiona anafaa ? Ni nini kinamfanya sasa akose kujiamini hadi atumie ushawishi wa makundi? Sasa hivi anajishtukia ili asionekane anautaka urais kwa udi na uvumba, huyu Bwana Edo ana uchu wa madaraka uliopitiliza. Ana ajenda gani kwa watanzania ku-justify utumishi wake hapo atakapokuwa rais? mwogopeni kama kansa, hatufai kuwa kiongozi wetu. Aende akafuge ng'ombe Monduli.

acha dharau ww . wewe unafuga nini?? hata kuku huna. umelifanyia nini taifa lako katika nyanja zote siasa, uchumi, tamaduni na hata kijamii?? kwanza sikufahamu na nahisi hata familia yako haikufahamu vizuri, dharau haijengi, dharau si mtaji, dharau si kipaji ila ni tabia na hulka yako. tangaza nia ww kama unao uwezo. hata mwenyekiti wa mtaa upati nafasi kwa midharau yako.
 
Mi naona awe mvumilivu ; kajiandaa toka mkapa mpaka kikwete . Wasiwasi wa nini
mbona kuna wabunge wamekaa kimya ata uende majimboni kwao wanakuangalia km magufuri, pinda n.k

ajiamini kipenga kikipingwa anaweza kuanza kwa formationi yoyote
5 : 4 : 1 kwa kudifence
4 : 4 : 2 kumiliki kiungo
3; 2: 5 full kushambulia.

Mbona membe yupo kimya na ni juzi ndo tumemjua,
Ulisema magufuli
 
Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa,amesema anashindwa kujitokeza kuzungumzia urais au kufanya mambo yanayohusu kugombea urais kwasababu Kamati ya Maadili ya CCM inamfuatilia kwa karibu.

Nape Nnauye nini maoni yako kwa kauli hii?
===============

Chanzo:Mwananchi
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo na mchimba kisima huingia mwenyewe au mtu wake. Akina Lowassa mmekulia CCM, CCM ilivyo leo ni matokeo ya michango yenu na wewe ukiwemo, hivyo mnaijuwa wenyewe malengo yake. Tulia tulii unyolewe na CCM
 
Lowassa ndie Rais...

Ana busara sana, ana heshimu chama ingawa chama kinaongozwa na akina hovyo Nape na Mangula wote wanamgombea wao....ila Lowassa kwa busara ya hali ya juu anajua anafanya nn..

Kwa sasa Tanzania hana mpinzani kwa Urais..ni EL tu.

Tushamaliza..
Where are you
 
Back
Top Bottom