Geomatics na Geodetic Sciences-ARU
Kwa bongo wanasema watu wa Science Wanahitajika lakini mimi ninavyoona
ACCOUNTING
ECONOMICS
FINANCE
Hivi vitu ni ndiyo Kipaombele Angalia Matangazo ya Kazi kila siku unaweza kukuta Yote yanahitaji hao watu!
You can't go wrong with Medicine or Technology degree
hakuna tena geodetic science ARU kuna GM na GI tu
Umesahau na land management and valuation, iko vizuri pia.Architecture,building economics,Civil engineering, electrical engineering,mechanical engineering kila siku ujenzi unafanyka kupitia hizo kozi unao uwezo w kuajiriwa / kujiajr ,na chemical n processing engineering,agriculture engineering na kozi zote za afya
Ukianza na kuajiriwa tu hilo tatizo, waza kujiajiri ndugu, watu tupo mitaani kwasababu tuliwaza tusome nini ili tuajiriwe ama tujiajiri? kimbilio la wengi likawa UALIMU lakini nao hali ishaanza kuwa ngumu. Mi naonelea uwaze kusoma kitu ambacho kitakufanya uweze kujiajiri, vitu kama elimu ya biashara, ujasiriamali na ufugaji vitakutoa kimaisha. Sikuhizi kuna ufugaji wa KWARE WA MAYAI naona watu wanapiga hela, kwahiyo vitu kama hivyo ni vizuri kufanya kwa kujiajiri.