sio rahisi la mamaaa ila kijichumba na sebupe tu mkuu hii ndoto nataka niitimize kodi inaumiza la mama hasa sisi ambao tunajitafta tumeanza humu mnatulea wenyewe hadi leo
Habari za miaka kadhaa wakuu kwema ni mm fundi bishoo bishoo fundi napenda kuwajulisha kuwa mwakani nataka kujenga na kununua gari nashukuru pia nmeoa kwa sasa nina familia na pia na majukumu asanteni
Yes bishoo haswaaaaa
Kama kichwa kinavosema
Mke wangu ananyonyesha sasa miezi 8 sasa sijaonja ile kitu leo nmegusa nmemwaga humohumo
Akitumia p2 kuna madhara yoyote kwa madaktari
Nimeenda pharmacy wamesema hakuna shida
Nimekuja kwa familia yngu mnihakikishie na nyie aisee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.