Recent content by FTP

  1. FTP

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Hamas akamatwa na Jeshi la Israel

    Israel arrests Hamas leader in West Bank raid - Al Jazeera English Israeli security forces have arrested Hassan Yusef, one of Hamas' top figures in the occupied West Bank, in an overnight raid near Ramallah, the Israeli army said. "During the night, forces of the army and the Shin Bet [internal...
  2. FTP

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa UKAWA Mbeya kurushwa live ITV

    ngoja tuendele kukodoa macho azam tv kwa sasa.
  3. FTP

    JamiiForums Tanzania Sheria ya mita 200 inatekelezeka kweli?

    busara lazima itumike tu
  4. FTP

    JamiiForums Tanzania Bado siku 7 tu za kumuondoa mkoloni mweusi

    ngoja tusubiri kura yangu moja bado sijahamua wa kumpa
  5. FTP

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa UKAWA Mbeya kurushwa live ITV

    kuanzia saa ngapi mbona itv hakuna suala hilo?
  6. FTP

    JamiiForums Tanzania Dr. Pombe Magufuli, ashindwa kutokea kwenye Mdahalo wa Urais wa Tanzania

    Issue ya kuviziana tu
  7. FTP

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe Mbeya, Mkutano wa Edward Lowassa

    Utarushwa tv gani
  8. FTP

    JamiiForums Tanzania Jionee mafuriko ya Kagasheki jimbo la Bukoba Mjini

    Nimepokea picha hizi kutoka Bukoba kuwa ni mafuriko ya mgombea ubunge jimbo la Bukoba mjini CCM balozi Kagasheki. Hivi kule mgombea UKAWA ni yupi, nimecheka sana. Ina maana hilo jimbo CCM italichukua kweli?
  9. FTP

    JamiiForums Tanzania Video-Vimbwanga vya Uchaguzi,Mgombea CCM adai Serikali ya CCM inanuka rushwa,wajumbe wachachamaa

    Huko Bukoba mkoani Kagera mgombea mmoja wa nafasi ya ubunge aitwaye Dk Aman Anatory asubuhi alichafua hali ya hewa baada ya kudai katika mkutano wa kampeini kuwa Serikali ya CCM inanuka rushwa,kaenda mbali zaidi kwa kudai kuwa tz kuna tahasisi nne zinanuka rushwa,mojawapo ni ofisi ya CAG...
  10. FTP

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Asante kwa updates-@mwana mpotevu
  11. FTP

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu ni kwa wanawake na funzo kwa wasaka dawa za kukuza maumbo yao

    nime copy mahali na kuleta hapa.
  12. FTP

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mabinti wa hapa MMU hamuolewi?

    huyu ndio ambao wake zao hutembea na wauza mkaa,akijidai kaoa
  13. FTP

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu ni kwa wanawake na funzo kwa wasaka dawa za kukuza maumbo yao

    kizuri kula na mwenzio-Ujumbe huo
  14. FTP

    JamiiForums Tanzania Pigo la tatu kwa Lowassa, bado la Mwisho mwezi Mei

    Yericko Nyerere hivi ni lini tutaanza kujadili wagombea urais kupitia UKAWA? Maana naona nguvu zote ni CCM tu mpaka mimi nashangaa kwa nini vijana wa CHADEMA kila kukicha wao ni kujadili mgombea gani anafaa/hafai nafasi ya Urais kupitia CCM tu je UKAWA hawapo? ukiona mtu anapenda kujadili mambo...
Back
Top Bottom