Aisee. Watu mna gadhabu ebiatari.Ratiba yangu ya oktoba 25:
1. Naamka mapema sana
2.nakunywa juice ya ukwaju kupata hasira
3.naangalia picha kadhaa za wamama wamelala zahanati wanne wanne
4.naangalia picha ya mwangosi
5.nakunywa tena juice ya ukwaju
6.nachukua kikatio
7.nachukua bic zangu mpya nne (mbili za bluu na mbili nyeusi)
8.nachukua mathematical set (mkebe) mpya
9.narudia tena hatua ya 3 hadi 5
10.naelekea machinjioni
Hiiiiiiiiiii kwani mafuriko ndio ushindi, kura ni siri ya mtu, mafuriko wanakuja kusikiliza tu mwisho wa siku mtu anaamua kwenye sanduku la kura. Kuna mtu anaweza kubadilisha mawazo sikunde 1 kabla ya kudumbukiza karatasi. Kwa hiyo watu mnaofikiria mafuriko ndio ushindi YOU ARE TOTALLY WRONG
Na leo Lowasa yuko huko kwao
Ratiba yangu ya oktoba 25:

Mpuuzi mmoja kakaa chini kaandika huu upuuzi basi wapuuzi wengine wote wana-copy na ku-paste kila sehemu.