kuanzia saa ngapi mbona itv hakuna suala hilo?
Luwasa anagombea ubunge au urais?
Tuliza ball ni saa kumi
Hivi ITV ,hawanaga live streaming?maana nina GB za kutosha na sina access na Television
Naomba kunukuu kama ipitavyo chini ya luninga yangu.
Tunapenda kuwatangazia wapenzi watazamaji wetu kwamba, ifikapo saa kumi leo jioni itawaletea matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa kampeni wa chama cha CHADEMA, utakaofanyika kwenye viwanja vya Rwandanzovwe mjini Mbeya na kuhutubiwa na mgombea urais wa CHADEMA Mh. Edward Lowassa pamoja na viongozi wengine wa UKAWA.
Mwisho wa kunukuu, karibini sana wafahamishe na wengine.
tukubaliane sote Magufuli ndiye Rais sasa tuaze kazi za maendeleo