Sheria ya mita 200 inatekelezeka kweli?

Sheria ya mita 200 inatekelezeka kweli?

Hairuhusiwi mikusanyiko au ishara yoyote ya Kisiasa we leta Ubishi likikukuta ni wewe na Familia yako sio Vyama, yule dogo wa ishu ya Mwamunyange anaepanda na kushuka hivi sasa ni bi Mkubwa wake akina Malya wamejidai eti wakiisimamia ile kesi itachukuliwa kisiasa. Vijana muwe tayRi kwa hilo

Ndani ya mita 200. Shule mlienda kusomea ujinga?
 
Wakuu,nyumbani kwangu ni umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura,natoa tahadhari mapema,nisione mtu amekaa nje ya nyumba yangu au kwenye eneo la nyumbani kwangu kwa kigezo eti analinda kura,nitacharanga watu mapanga.sitaki nzi kwenye eneo langu aisee.
 
i have just lost two minutes of my life reading this mbushit......
 
Wakuu,nyumbani kwangu ni umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura,natoa tahadhari mapema,nisione mtu amekaa nje ya nyumba yangu au kwenye eneo la nyumbani kwangu kwa kigezo eti analinda kura,nitacharanga watu mapanga.sitaki nzi kwenye eneo langu aisee.

We una nyumba au unahifadhiwa kwa shemeji yako? kama ni kweli weka picha ya hiyo nyumba hapa bila kusahau ya hicho kituo
VIVA UKAWA!!!!
 
Mkikaa mita 200 na CCM nao watakaa mita 800 ili kuwe na security zone kati kati ya mita 600?

Ndugu zangu mna watoto wadogo na wake wabichi, na wazee wanaowategemea. Fikiri kabla ya kuamua, piga kura yako rudi home uwatendee haki watoto wako na jamii yako wakuite baba anayewatimizia majukumu kwa mjibu.

kweli mkuu huu uchaguz wa mwaka huu tumuombe MUNGU upite salama
 
Mkuu kizungu unafundishwa na CCM kweli au kichwa chako ni zero tu? Unatia aibu. watanzania walio wengi tumelelewa kilelemama na tusilaumu mtu, Wewe utasomaje miaka yote hiyo ushindwe lugha tu ambayo unaweza kuiongea kwa wiki mbili? Hii ni too much.
 
Back
Top Bottom