Recent content by Frusemide

  1. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Flashback ya zile simu kali enzi hizo

    Nokia E71
  2. F

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Nape kuhusu uvamizi wa CUF Jana

    Sijui nikujibuje brother,napata shida sababu mm nimesoma sayansi lakini kiswahili angalau hakinipigi chenga,ume lazimisha NENO WAZILI NAPE NA SIO WAZIRI NAPE , ni ngumu kukuelewesha hasa Malengo makuu ya lugha na sio lengo kuu la lugha, Unazifahamu 3K? Kusoma.kuhesabu. na Malizia mwenyewe K...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Nape kuhusu uvamizi wa CUF Jana

    Unamkosoa Nape wakati hata ww kuandika hujui,Eti wazili?? Ni waziri bnaah
  4. F

    JamiiForums Tanzania NBA 2016/2017 Season Special Thread

    Duu
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kucha za vidole gumba miguuni.

    Pole saa, na kwa kuwa unadai umehangaika sana, basi hata washauri wanatakiwa/tunatakiwa tufikiri zaidi kuliko Pole na experiences za kuugua! Kwa kifupi tatizo lako ni la kitabibu, hasa unaweza kuwa na fangal infections, (unspecified!) Fangas wa kwenye kucha kitaalamu( onychomycosis) Hushambulia...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Kumbeeh
  7. F

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hali ya dawa hospitalini ni mbaya sana

    Eti hakuna dawa (kwani hizo Panadol & Aspirin unazosema wanapewa sio dawa?)
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mabasi yanayokimbia sana kwa sasa Tanzania

    Nje ya maada, mazuri yako mengi mno, bestline haipo kwenye uzuri/ubora, kwa kukimbia/kutoboa mwanza dsm, kwa anae safiri mala kwa mala, akuna kama KISBO:
  9. F

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia kutapika kwa mjamzito

    Pole sana, Kwa kitaalamu tunaita hyperemesis gravidarum, yaani mama mjamzito anatapika kupita kiasi ndani ya miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito na baadae hutoweka , na huambatana na udhia mwingine. Sababu kubwa ni (hCG). Hii ni hormone ambayo huzalishwa wakati wa ujauzito toka kwenye...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Mabushi stars cha enzi zile

    Akina bibi mkola, mama ndumbwi, mapung'0, Linda....ohhh the old is gold!
  11. F

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufukuzwa Mbeya, Dr. Bingwa feki wa magonjwa ya moyo aendeleza libeneke Moro

    Kuongelea taaluma ya mtu fulani, bora hata uwe una taaluma hata kidogo inayo lingana na ya huyo unaemwongelea, au hata uwe nauelewa kiasi tu juu ya taaluma yake, na ikiwzekana umahamu mtu na taaluma yake kwa kina pia. Kama huna hata moja miongoni mwa hayo si busara kuongea uongo na kufurahisha...
Back
Top Bottom